Wanandoa nisaidien hili swali

Wanandoa nisaidien hili swali

Yapo ya kushirikishwa na yapo ya kupewa taarifa tu.

Mgeni kuja nyumbani kuwatembelea na hata kuja kuishi huwa ni baraka, unless

Masuala kama ujenzi, ununuzi wowote mkubwa au kumhudumia mtu au mwanandugu kama ada, matibabu na shughuli yoyote ile inayohusisha uchotaji wa fedha nyingi za familia hapo usiposhirikishwa,lalamika.
Fedha za familia ni zipi? Zza mke au mme au wote wawili? Je siku zote
Iko hivyo hata kama hakuna wageni? Na ushirikishwaji maana yake nini? Ni kujadili na kupiga kura? Kama msimamo ni 50% kwa 50%? Je kiongozi wa hiyo familia ni nani? Familia nyingi zina anarchy kutokana kuingizwa ujuaji mwingi.
 
Minimekaa na familia ya upande wangu na Wa mke kwa muda ila kwa sasa uchumi wangu umeyumba nimeamua sitaki kukaa na familia kubwa lkn wife kaleta mdogo wake Wa kiume aje akae hapo home tena bila taatifa yaani nimeambiwa wakati wameshakubaliana sijakaa vizuri Luna msichana ndugu yake keshamwambia aje anasema kazi nyingi hawezi anataka msaidizi na yeye no mama Wa nyumbani watoto tunao wawili tu nyumba in vyumba 2 na sebule nataka nimchane live kuwa sitaki familia kwa sasa nataka nikae mm na watoto coz kipayo kimeshuka take wwnyewe ntakuwa nimekosea?
Hujajosea. Ishi na mtu Kama tu inabidi iwe hivyo.
 
Wengi ndoa zao sio mwili mmoja, yaani wanaishi tu pamoja na kila mmoja akiwa na lake. Hawajaambatana.
 
Fedha za familia ni zipi? Zza mke au mme au wote wawili? Je siku zote
Iko hivyo hata kama hakuna wageni? Na ushirikishwaji maana yake nini? Ni kujadili na kupiga kura? Kama msimamo ni 50% kwa 50%? Je kiongozi wa hiyo familia ni nani? Familia nyingi zina anarchy kutokana kuingizwa ujuaji mwingi.
Fedha ya familia ni yafamilia tu, haijalishi katafuta baba au mama,unless kama kuna makubaliano mengine, ila katika mazingira ya kawaida mali zote ikiwemo pesa huwa ni ya familia.

Ushirikishwaji huwa mkubwa kwa yale ambayo huwa yana athari kubwa kwenye familia...mfano ununuzi wa Mali kama mashamba, gari, kiwanja, ujenzi, masuala ya kupanga uzazi, safari, kwenda masomoni, kutoa msaada, kusomesha watoto au ndugu n.k.

Mgeni kwa wanaosali wanaamini familia isiyo na wageni huwa haina baraka. Na kweli ndio hivyo, na mtu huwa haombi kuja kukutembea, anachofanya ni kutoa taarifa tu kuwa weekend au likizo hii nitakuja kwako, hakuna option ya NO, unless hautakuwepo...lakini kama kuna nafasi ya kumhifadhi na ikibidi kumsaidia, Fanya hivyo, usiwaze kuhusu chakula wala pa kulala.
 
Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo
Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani?
mfano rafik angu kuna anaishi na wifi zake 2 mme anapigiwa cm kwao fulan anakuja kukaa huko amwambii mkewe ,, mke anashtuka tu mgen kafika au anaambiwa mgen yupo njiani anakuja

Mi nauliza tu kwenye ndoa inakuaje? au kutokana na makubaliano yenu
Ni muhimu kuzungumza/kujadiliana/kushirikishana kwa jambo lolote.Mume ndiye kiongozi wa familia na ndiye mwenye kauli ya mwisho.Kama ambavyo mume anapaswa kumpenda mkewe, ndivyo hivyo hivyo mke hana budi kumtii mumewe.
 
Minimekaa na familia ya upande wangu na Wa mke kwa muda ila kwa sasa uchumi wangu umeyumba nimeamua sitaki kukaa na familia kubwa lkn wife kaleta mdogo wake Wa kiume aje akae hapo home tena bila taatifa yaani nimeambiwa wakati wameshakubaliana sijakaa vizuri Luna msichana ndugu yake keshamwambia aje anasema kazi nyingi hawezi anataka msaidizi na yeye no mama Wa nyumbani watoto tunao wawili tu nyumba in vyumba 2 na sebule nataka nimchane live kuwa sitaki familia kwa sasa nataka nikae mm na watoto coz kipayo kimeshuka take wwnyewe ntakuwa nimekosea?
Hujakosea.Pia ulipaswa kumwambia mara ya kwanza kabisa alivyomleta mdogo wake.
Pia kama unaona hamna sababu ya kuwa na msaidizi mwambie bila kusitasita.
 
Minimekaa na familia ya upande wangu na Wa mke kwa muda ila kwa sasa uchumi wangu umeyumba nimeamua sitaki kukaa na familia kubwa lkn wife kaleta mdogo wake Wa kiume aje akae hapo home tena bila taatifa yaani nimeambiwa wakati wameshakubaliana sijakaa vizuri Luna msichana ndugu yake keshamwambia aje anasema kazi nyingi hawezi anataka msaidizi na yeye no mama Wa nyumbani watoto tunao wawili tu nyumba in vyumba 2 na sebule nataka nimchane live kuwa sitaki familia kwa sasa nataka nikae mm na watoto coz kipayo kimeshuka take wwnyewe ntakuwa nimekosea?
Awamu hii itatugombanisha mpk na wakwe
 
Binafsi sitaki kupewa taarifa, mtu kukupa taarifa ni kwamba wameshashajadiliana huko na anakuja tu kukuambia kuwa the family(yeye na ndugu zake) wamekubaliana hivyo, which means you're third party katika nyumba yako.

Haya mambo lazima mshirikishane, hasa kama mtu anakuja kuweka kambi kwa muda mrefu.
 
Na hapa naongelea mgeni anaekaa mda mrefu mwaka na kuendelea uko
 
Yapo ya kushirikishwa na yapo ya kupewa taarifa tu.

Mgeni kuja nyumbani kuwatembelea na hata kuja kuishi huwa ni baraka, unless unamambo yako unayoyaficha, lakini mgeni yoyote kwa upande wowote ule ni baraka, ili mradi una nafasi ya kumu accommodate. Kwa hy hilo halihitaji ushirikishwaji iwe kwa upande wowote ule, kwako ama kwake.

Masuala kama ujenzi, ununuzi wowote mkubwa au kumhudumia mtu au mwanandugu kama ada, matibabu na shughuli yoyote ile inayohusisha uchotaji wa fedha nyingi za familia hapo usiposhirikishwa,lalamika.
Huo ni mtazamo wako mkuu, kwangu ukileta mtu bila taarifa anarud mbinde mbinde na kichapo unakula!!!
 
Huwezi kushtukiza mke wako au.mume.wako kuhuau ugeni unaokuja ndani mwenu. Ugeni utakosa baraka za familia. Ugeni ktk familia neema na baraka lazima.mlipangr vizuri wageni wakija waishi kwa amani. Kwahiyo majadiliano ni muhimu. Mjue watalala wapi na watakula nini.
Umenena vyema mkuu, kwa upande wangu mke akiniletea mgeni ndan sina taarifa, si yeye wala wageni wake watapata taab sana
 
Ukirihusu kupokea wageni bila taarifa wala kushirikishwa mwisho wa siku utaletewa michepuko ndan uigaramie chakula na malazi ukiambiwa huyu ni nan yang cjui vp!!

Kwangu lazima uniambie, tena sio kama taarifa, ulilete kama wazo, af nitapembua kwa akil yangu, nitaangalia niko vp kiuchumi af baada ya hapo ndo tunajadilo sasa na mke(baada ya kulichambua kichwani mwangu peke yangu ndo nalileta mezan kujadiliwa)
 
Du!
 
hi nadhan inategemea na nafasi ya mke ndani
mke anayo nafasi na lazima iheshimiwe........kuwaalika ndugu kuja bila ya kupeana taarifa ni mbaya sana,,haifai...lazima kuwe na taarifa na ndio maana ya kusikilizana......hawapaswi kuhamia......maisha magumu jamani......labda kama ni kumuuguza...
 
Fedha ya familia ni yafamilia tu, haijalishi katafuta baba au mama,unless kama kuna makubaliano mengine, ila katika mazingira ya kawaida mali zote ikiwemo pesa huwa ni ya familia.

Ushirikishwaji huwa mkubwa kwa yale ambayo huwa yana athari kubwa kwenye familia...mfano ununuzi wa Mali kama mashamba, gari, kiwanja, ujenzi, masuala ya kupanga uzazi, safari, kwenda masomoni, kutoa msaada, kusomesha watoto au ndugu n.k.

Mgeni kwa wanaosali wanaamini familia isiyo na wageni huwa haina baraka. Na kweli ndio hivyo, na mtu huwa haombi kuja kukutembea, anachofanya ni kutoa taarifa tu kuwa weekend au likizo hii nitakuja kwako, hakuna option ya NO, unless hautakuwepo...lakini kama kuna nafasi ya kumhifadhi na ikibidi kumsaidia, Fanya hivyo, usiwaze kuhusu chakula wala pa kulala.
Hujanielewa, digest vizuri
 
Utakuta hapo hata mume hana maamuzi,yani ameambiwa ndugu yako anakuja kuishi kwako hawezi kukataa nae anamsukumia mke wake.unaweza kuta katika hao wawili hakuna alieridhia.
 
mke anayo nafasi na lazima iheshimiwe........kuwaalika ndugu kuja bila ya kupeana taarifa ni mbaya sana,,haifai...lazima kuwe na taarifa na ndio maana ya kusikilizana......hawapaswi kuhamia......maisha magumu jamani......labda kama ni kumuuguza...
Ndugu ukiwa mjini alafu unanafasi kidogo swala la ndugu kulikwepa hauwezi
 
Mgeni anaekuja kama jiwe nami namuona jiwe haijalishi ni nani
 
Sasa mgeni anakujaje kuishi zaidi ya mwaka? ni mtoto anakuja kusoma au? kama ni mtu mzima wenda anakuja kutafuta kazi hapo amna namna inabidi akaribishwe.

Suala la mgeni kuja nyumbani kama mmoja ndo amepata taarifa ni vizuri kumshirikisha mwenzio kua mama P yule shemeji yako au flani anaumwa au anatatizo flani hvyo anaomba kufikia hapa nyumbani kwa takriban siku 60 akiwa anafutilia malipo yake NSSF; Je sehemu.ya malazi pakoje? na yeye atatoa maoni yake kama atasuniri kwanza kama wiki moja ili watoto waende shule kwanza ndo aje mtampatia taarifa.

Usipende kubana sana wageni make na wewe pia ni.mgeni kwengine; kitu muhimu ni familia moja kuwekana huru kwa kila jambo ambalo itaonekana kuitaji ushiriki wa wote wawili yaani Mke na Mme. Siyo tu mmoja anaingia tu na mtu ametoka kumpokea karibu ndani na mwingine anashangaa na huyu wifi amekuja tu kimya kimya.
 
Back
Top Bottom