felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Wanandoa wa kidigitali..
Mwanamke mwenye mdomo,..mwanamke anakupandishia[emoji23], jaman hizi ndoa za sasahivi zinaficha mengi..
Ndoa haswa za karne hii ya mwanamke ambaye ana digrii ama masters, anakutana tena na mwenzake mwenye digirii na masters with phd...
Kuna wakati nikawa najiuliza hadi mtu anachukua hatua ya kumuua mwenza wake, hua inakua nini? Kumbe ndoa za kidigitali ..[emoji706]
Ndoa na mahusiano yalikua zamani za wazee wetu , sio uchafu wa sasa..mimi naita uchafu tu, ndoa za sasa ni uchafu, hakuna kuheshimiana, hakuna upendo, upendo wa kinafiki, watu wanawindana kama wachawi, kujali hakuna, wengine midomo michafu inaongea ovyo.
Sometimes u miss the old school days, that old love you had, unajua kuna mwanamke ukimtajia nyimbo kama lady in red ya chriss de B anaiimba kama si yote na kukumbuka those old school days ambapo naona mahusinao yalikua real, ila wa sasa ukimtajia hio nyimbo hawez kufahamu, ila ukimtajia komosava ama sukari anaimba hadi na biti, hawa ndio wanawake wa kuoa?