Wanandoa, unaweza ku deal vipi na a "nugging" woman?


Ni rahisi sana kumjua nugging Human wakati wa Uchumba, ukishamuoa aisee Maisha ni Magumu sana, sina mbinu zaidi ya kukaa Bar, kukwepa kurudi home, na hayo siyo maisha !
 


Kosea mambo yooote, ila usikosee kuoa, that is all..!!

Hivi kwani ndoa ni jambo la kukurupuka? Mlikuwa na muda wa kutosha kumjua mwenzako kabla ya kuishi pamoja, sasa kipindi cha kujuana na huyo mwenzako ndio kipindi muhimu sana cha kuamua utaishi nae au utampiga chini haraka sababu kuna dalili zote unajua kabisa huyo sio wife material, dalili nyingi, sasa kama hujafanya maamuzi sahihi kipindi cha mahusiano kabla ya ndoa matatizo ndio haya unaleta huku..!!

Nyie msikute kipindi cha kumjua mwezako nyie mlikuwa kila siku kujirusha clubs au mko bars au mko mnakula raha za mjini sehemu mbali mbali na kusahau jambo muhimu sana je huyu atanifaa nikiishi nae? Sasa kama kila siku ilikuwa mna piga starehe, maisha ya ndoa sio hayo, mlikosea.

Bora kuishi na shetani kuliko kukosea kuoa mwanamke asiyekufaa kuishi nae..!!
 
Mimi na Swali Moja, WANAWAKE WENU HATA WAKIWA NYUMBAN, MARA YA MWISHO UMEMKUTA LINI ANASOMA BIBLIA AU QURAN TAKATIFU??.
Hii point ni kali sana.

Kuna uwiano mkubwa kati ya Ndoa na Mungu, hivi vitu ni vya kiumbaji sisi tunaenda navyo kimtaani taani.
 
Great thinking mkuu, ila kwani mkuu mimi wakat wa uchumba siwez kujiweka kua mtakatifu wa watakatifu ila lengo likishatimia la kuolewa ndio naonyesha sasa makucha yangu..unafikir kwanini mauaji hua yanatokea kwa wanandoa tayar na sio wachumba ama wapenzi ambao ni nadra sana kusikia matukio yao
 
Shida ni hizi ndoa zenye cheti cha serikali zinampa mwanamke uhakika haswa hasa wa kisheria. Cha kufanya ishi naye akijua akizingua unafunga ndoa na mwingine. Hata mchepuko ukijua umeachana na mkeo na yeye ndiye main ataanza kuzingua tu. Nadhani wanaume waoe kienyeji tu toa mahali sepa masuala ya cheti cha ndoa achaneni nayo kabisa hayapo kibiblia wala kimaandiko na ndiyo yanayoleta shida kubwa.
 
Wewe mwanamke?
 
sio nugging ni nagging wife,lakini ni kama ambavyo wanawake wanavyoweza kudeal na mwanaume mlevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…