Wanandoa, unaweza ku deal vipi na a "nugging" woman?

Ni rahisi sana kumjua nugging Human wakati wa Uchumba, ukishamuoa aisee Maisha ni Magumu sana, sina mbinu zaidi ya kukaa Bar, kukwepa kurudi home, na hayo siyo maisha !
Ni rahis sana, mpe muda halaf pia utamjua nyakati ngumu
Tatizo watu wanaupeleka uchumba faster, ndipo wanapo miss red flags
 
Haya recho leo nikupeleke kwa mpalange
 
Ngono mkuuu kiroho inakuwa kama maaagano ssa kuna wakati utachota maaagano mengi sana na mitosis kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…