Wanandoa wameoana na wote wana watoto nje, baada ya kufunga ndoa ni mwaka sasa hawana mtoto. Nani mchawi?

Wanandoa wameoana na wote wana watoto nje, baada ya kufunga ndoa ni mwaka sasa hawana mtoto. Nani mchawi?

Kuna watu wanapitiaaa mapitoo lo hqtq sisemii

Janaa nilikuta mada moja kanisanj wanaijadili nkawa hoii

Kijana ana watoto wawili alizaa njee

Mwanamke alieoana nae ana mtoto mmoja nae alizaa nje

Wakapendana wakaamua tuishi pamoja

Wana mwaka sasa kila kona kila style wapii hawajapata mtoto

Nawaza mpaka sasa nani mchawi??

Ama wale wapendwa wao waliowaacha??
Nashauri huyo baba akapime dna, huyo anaesema ana mtoto nje.
 
Binadamu tunashindwa kuelewa kuwa WATOTO NI RIKIZI KUTOKA KWA MUNGU.

Kama ilivyo katika riziki nyingine, kufanya kazi kila siku hakuwezi kumfanya kila mmoja wetu awe tajiri, vivyohivyo kufanya sana mapenzi na mwanamke hakukupi uhakika kuwa utapata watoto wengi maishani.

Kikubwa inatakiwa tusiwe na presha kwa mambo tusiyo na uwezo nao. Kuna ambao wamepewa zaidi watoto zaidi ya kumi kuna wengine wana wawili, wengine mmoja na wengine hawana kabisa.

Nabii Ibrahim alikaa kwenye ndoa yake na Sarah kwa zaidi ya miaka 80 bila ya kupata mtoto...alikuja kupata mtoto uzeeni kabisa.
 
Wamekwambia kuwa wanasak mtoto ?!
 
sasa waliwaambia kuwa wanaoana ili wazae..? kama watoto si tayari na ubao unasoma 2 - 1. mwaka mmoja tu mnataka wazae mnafikiri ulezi kazi nyepesi waswahili bhana!
wAlipaswa wafurah,wakulane tu bila mimba,sasa wao wanahangahika
 
Do you believe in witchcraft?
I think the time for them to have children has not yet to come.
 
Nileteeni huyo mke wake nikae nae week 1 tu. Asipotoka kwangu na mimba, basi tatizo litakuwa ni la mke. Na akitoka na mimba, tatizo litakuwa la mume.

Ila swala hili itabidi tulifanye siri ili tusiwape watu ya kuongea.
 
Back
Top Bottom