hiyo issue ni personal sana
wewe ukienda kujittuliza na mamsapu wako... unataarifu wadau humu...?!:confused2:
unamwaga njePipi yako, nailoni ya nini? Hii unawafaa wale wasiowekeana mambo wazi kama vile; mzunguko wa siku, hisia na hali za miili yao tu. Au mwenzio hakuelezi mabadiliko ya mwili wake kwa wakati? Huenda ikatukima, lakini kwa siku chache zilizomaalum tu...! Hata hivyo, hakuna ulazima wa kufanya tendo hilo kwa siku hiyo...! Kwani lazima ule kila siku?
Matumiz ya condom kwa watu waliozoea kavkav huwa magumu sana. Na ndo maana wanandoa wanaambukizwa HIV kirahis zaidi maana wakienda nje kubadili mboga inakuwa ngum sana kutumia kinga...
mie napiga kitu na boksi ng'adu kwa ng'aduI dont think so.... kama ingekuwa very personal lile tangazo lingekaa ki- personal personal, maana wale wazazi walienda very openly kununua hiyo bidhaa tena waki- smile na kila mmoja kwa wakati wake! Sijaona cha kuficha hapo! Kama unatumia na mkeo/mmeo sema utushawishi na sisi tukiingia kwenye libeneke la ndoa tufanyaje kama haifai sema pia
kosa kubwa sana ilo la kusema eti unamwaga nje.... unaweza ukawa uja pissy ile vimbegu vikatangulia tu kizushi na kudungua mimba au ukishamwagia nje wakati unatafuta la pili kuna nyingine zinakuwa njiani nazo zinaenda kutunga mimba acha kabisa issue ya kumwaga nje haisaidii kabisa utakuja kukataa mimba yako bure kwa uvivu wa kufikiriunamwaga nje
Kumbuka hii ni kwa ajili ya uzazi wa mpango au unakuwa :becky::becky::becky:
kosa kubwa sana ilo la kusema eti unamwaga nje.... unaweza ukawa uja pissy ile vimbegu vikatangulia tu kizushi na kudungua mimba au ukishamwagia nje wakati unatafuta la pili kuna nyingine zinakuwa njiani nazo zinaenda kutunga mimba acha kabisa issue ya kumwaga nje haisaidii kabisa utakuja kukataa mimba yako bure kwa uvivu wa kufikiri
kosa kubwa sana ilo la kusema eti unamwaga nje.... unaweza ukawa uja pissy ile vimbegu vikatangulia tu kizushi na kudungua mimba au ukishamwagia nje wakati unatafuta la pili kuna nyingine zinakuwa njiani nazo zinaenda kutunga mimba acha kabisa issue ya kumwaga nje haisaidii kabisa utakuja kukataa mimba yako bure kwa uvivu wa kufikiri
acha kabisa hamna kitu kama hicho kuna vinavyotangulia halafu hata ukikamua vile kwenye bao moja ni zaidi ya milioni 10 lazima vitabaki njiani halafu ujanja wa kuchomoa unao wakati akili inakuwa imesharuka pale unasikia hayaaaa nimejisahau ujinga mtupu wacha kabisa kubeep mimbaUkipiga cha 1 unahakikisha umejikamua ki ukweli hamna kijimbegu kinabaki ndo unaendelea na cha 2
Hiyo ya kutangulia kabla ya kitu chenyewe sina hakika nayo
lakini zoezi linahitaji uzoefu na si mchezo
halafu demu akikufuata anakuambia ana mimba yake unaruka kimanga nyie ndio mnaongeza mayatima na njia zenu za kukojolea njeKila kitu kinawezekana under the sun hii pia ni njia ya kuzuia utungaji mimba na wapo wanaoitumia na wala si uvivu wa kufikiri ila ni ujuzi na ubunifu mkubwa :becky: