Wanandoa Wangapi wanatumia Kondomu kupanga uzazi?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Kuna lile tangazo la familia K*n*om na hasa ni kwa ajili ya upangaji wa uzazi kwa Wanandoa! Nina penda kujua ni Wanandoa wangapi wanatekeleza utumiaji wa hii bidhaa maalum kwa ajili yao au ni ngamu ngamu tu kila mkutanapo???????:A S 39::A S 39::A S 39:
 
hiyo issue ni personal sana

I dont think so.... kama ingekuwa very personal lile tangazo lingekaa ki- personal personal, maana wale wazazi walienda very openly kununua hiyo bidhaa tena waki- smile na kila mmoja kwa wakati wake! Sijaona cha kuficha hapo! Kama unatumia na mkeo/mmeo sema utushawishi na sisi tukiingia kwenye libeneke la ndoa tufanyaje kama haifai sema pia
 
wewe ukienda kujittuliza na mamsapu wako... unataarifu wadau humu...?!:confused2:
 
Hata nikiwataarifu haina shida ila tofautisha kujipumzisha na utumiaji wa zana (bidhaa) :becky::becky::becky: Hata watoto wakishakuwa wakubwa wanajua mama ni chakula ya baba ila hawajui baba anakula chakula yake wakati gani:becky::becky::becky::becky:
 
Pipi yako, nailoni ya nini? Hii unawafaa wale wasiowekeana mambo wazi kama vile; mzunguko wa siku, hisia na hali za miili yao tu. Au mwenzio hakuelezi mabadiliko ya mwili wake kwa wakati? Huenda ikatukima, lakini kwa siku chache zilizomaalum tu...! Hata hivyo, hakuna ulazima wa kufanya tendo hilo kwa siku hiyo...! Kwani lazima ule kila siku?
 
mimi nawajua familia inayotumia hiyo njia (na nafikiri nami kuitumia mbele ya safari).............ila hawatumii kila siku, ni katika zile siku ambazo ni rahisi kwa mwanamke kutunga mimba.
 
unamwaga nje
Kumbuka hii ni kwa ajili ya uzazi wa mpango au unakuwa :becky::becky::becky:
 
Sawa kabisa
 
Matumiz ya condom kwa watu waliozoea kavkav huwa magumu sana. Na ndo maana wanandoa wanaambukizwa HIV kirahis zaidi maana wakienda nje kubadili mboga inakuwa ngum sana kutumia kinga...
 
hapo kwenye Red.. mmmhh....
 
I dont think so.... kama ingekuwa very personal lile tangazo lingekaa ki- personal personal, maana wale wazazi walienda very openly kununua hiyo bidhaa tena waki- smile na kila mmoja kwa wakati wake! Sijaona cha kuficha hapo! Kama unatumia na mkeo/mmeo sema utushawishi na sisi tukiingia kwenye libeneke la ndoa tufanyaje kama haifai sema pia
mie napiga kitu na boksi ng'adu kwa ng'adu
 
unamwaga nje
Kumbuka hii ni kwa ajili ya uzazi wa mpango au unakuwa :becky::becky::becky:
kosa kubwa sana ilo la kusema eti unamwaga nje.... unaweza ukawa uja pissy ile vimbegu vikatangulia tu kizushi na kudungua mimba au ukishamwagia nje wakati unatafuta la pili kuna nyingine zinakuwa njiani nazo zinaenda kutunga mimba acha kabisa issue ya kumwaga nje haisaidii kabisa utakuja kukataa mimba yako bure kwa uvivu wa kufikiri
 
Ukipiga cha 1 unahakikisha umejikamua ki ukweli hamna kijimbegu kinabaki ndo unaendelea na cha 2
Hiyo ya kutangulia kabla ya kitu chenyewe sina hakika nayo
lakini zoezi linahitaji uzoefu na si mchezo
 
Kila kitu kinawezekana under the sun hii pia ni njia ya kuzuia utungaji mimba na wapo wanaoitumia na wala si uvivu wa kufikiri ila ni ujuzi na ubunifu mkubwa :becky:
 
acha kabisa hamna kitu kama hicho kuna vinavyotangulia halafu hata ukikamua vile kwenye bao moja ni zaidi ya milioni 10 lazima vitabaki njiani halafu ujanja wa kuchomoa unao wakati akili inakuwa imesharuka pale unasikia hayaaaa nimejisahau ujinga mtupu wacha kabisa kubeep mimba
 
Kila kitu kinawezekana under the sun hii pia ni njia ya kuzuia utungaji mimba na wapo wanaoitumia na wala si uvivu wa kufikiri ila ni ujuzi na ubunifu mkubwa :becky:
halafu demu akikufuata anakuambia ana mimba yake unaruka kimanga nyie ndio mnaongeza mayatima na njia zenu za kukojolea nje
 
Back
Top Bottom