Wanandoa wengi hawapendani

Wanandoa wengi hawapendani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.

1656307797269.png
 
Wanaishi pamoja kama ada lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo! Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi. Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno

Umenikumbusha juzi apa kuna mamake rafiki yangu ( tuko nae jirani) aliniita akaniambia kuna mama kapigiwa cm na no. Mpya inaishia na 94 apo apo akaanguka na kufa, so usipokee no usioijua.Akaniambia ameshawaambia ndugu zake wote. Kioja sasa nkamuuliza umeshamwambia baba( Mme wake) et uyo sina shida nae atajijua.
 
Wanaishi pamoja kama ada lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo! Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi. Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno

Mmmh
Kuchokana kupo but haimaanishi hampendani
 
Umenikumbusha juzi apa kuna mamake rafiki yangu ( tuko nae jirani) aliniita akaniambia kuna mama kapigiwa cm na no. Mpya inaishia na 94 apo apo akaanguka na kufa, so usipokee no usioijua.Akaniambia ameshawaambia ndugu zake wote.Kioja sasa nkamuuliza umeshamwambia baba( Mme wake) et uyo sina shida nae atajijua.

Hahahahaha
 
Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Nadhani hayo ni mawazo waliyo nayo wazazi wako tu. Sisi wengine wazazi wetu wanapendana na hata siku moja hawaombeani kifo.
 
Back
Top Bottom