Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaKweli tumetoka mbali
Kwel kabisa kuna ndoa njema pia ambazo makwazo ndo chachu ya kujijenga vizuri zaid ktk ndoa .Namshukuru MUNGU kwa ndoa yangu.i just have belief kwamba ndoa yangu itakuwa ya furaha ki-mahusiano labda huzuni ziletwe na vitu vingine ukishaanza kuwa na negative belief juu ya mahusiano ya ndoa ama nje yakle very posible huwezi kuwa na happy ending
Ya kumtukana hivo kwani ungemuelimisha bila kumuita mpuuzi asingekuelewa??? Au unataka kila mtu akubaliane na unachoondika hapa??????nitolee upuuzi wako hapa soma mada uilewe nimesema baadhi ya ndoa mbona unakuwa mpuuzi kiasi hiki mpaka unashindwa kusoma post na kuielewa? wewe na mpuuzi mmoja anaitwa tedo hamjui nini maana ya jukwaa piteni mbali na post zangu sijawalazimisha kuchangia
Haya mambo hayatokei kwenye miaka ya mwanzoni sometimes it goes up to 20 years hasa mnapobarikiwa na kupata mali nyingiKwel kabisa kuna ndoa njema pia ambazo makwazo ndo chachu ya kujijenga vizuri zaid ktk ndoa .Namshukuru MUNGU kwa ndoa yangu.
mmh mimi nimeongea kwa ujumla wake lakini mimi kabila langu ni mix grill ya mluya msandawe mmasai na mmanda
mmh mimi nimeongea kwa ujumla wake lakini mimi kabila langu ni mix grill ya mluya msandawe mmasai na mmanda
Kabisa mshana lakini ndio nipo karibu na sipaswi kuweka negativity ya hiki kitu kwetu hofu ya Mungu kwanza kila mtu anatakiwa afanye wajibu wake jinsi Mungu alivotuamuru hivyo basi sitegemei kumchukia kiasi hicho kwa kweli hata kama nimemchokaje maana najua Mungu hapendi na uvumilivu ndo kila kitu.Japokuwa hayo uliyosema yapo.Kama wema wapo pia wabaya wapo hivyo inategemea.Haya mambo hayatokei kwenye miaka ya mwanzoni sometimes it goes up to 20 years hasa mnapobarikiwa na kupata mali nyingi
Ndio maana kasema wengi, sio wote.Watu wana generalize mambo
mwingine kaoa/olewa na kwekwerekwe anadhani kila mtu ni hivo
Kuna masimulizi ya ndoa ukiyasikia yanatisha na Kuna wanandoa wanaishi jehanam ya mahusianoKabisa mshana lakini ndio nipo karibu na sipaswi kuweka negativity ya hiki kitu kwetu hofu ya Mungu kwanza kila mtu anatakiwa afanye wajibu wake jinsi Mungu alivotuamuru hivyo basi sitegemei kumchukia kiasi hicho kwa kweli hata kama nimemchokaje maana najua Mungu hapendi na uvumilivu ndo kila kitu.Japokuwa hayo uliyosema yapo.Kama wema wapo pia wabaya wapo hivyo inategemea.
Unajuaje ??!![emoji72]Nadhani hayo ni mawazo waliyo nayo wazazi wako tu. Sisi wengine wazazi wetu wanapendana na hata siku moja hawaombeani kifo.