Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah...haya mambo ya "milele", "kifo kiwatenganishe", " kwa shida na raha" hayana maana.....bora kuwa na ndoa ya mkataba[emoji13] [emoji87]Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.