Wewe ni wa kabila gani?kuna makabila yanayothamini mali kuliko utu!
Wanaishi pamoja kama ada lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo! Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi. Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno
kama kabila gani
...na ndoa pia hazifanani...watu hatufanani na michango pia haifanani
Wanaishi pamoja kama ada lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo! Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi. Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno
Umenikumbusha juzi apa kuna mamake rafiki yangu ( tuko nae jirani) aliniita akaniambia kuna mama kapigiwa cm na no. Mpya inaishia na 94 apo apo akaanguka na kufa, so usipokee no usioijua.Akaniambia ameshawaambia ndugu zake wote.Kioja sasa nkamuuliza umeshamwambia baba( Mme wake) et uyo sina shida nae atajijua.
...na ndoa pia hazifanani...
Nadhani hayo ni mawazo waliyo nayo wazazi wako tu. Sisi wengine wazazi wetu wanapendana na hata siku moja hawaombeani kifo.Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
kama kabila gani
Na wala hakuna formular kwenye maisha ya ndoa. Hao hao utawaona ni kama wanaombeana kifo, lakini mmoja hakiwa hayupo mwenzake anamiss...na ndoa pia hazifanani...