Wanandoa wengi hawapendani

Wanandoa wengi hawapendani

Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
na bado watu tunalazimishana kuoa ?
 
IMG-20220418-WA0527.jpg
 
Huyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengi
 
Huyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengiView attachment 2245705
Duh aiseeeeeeee ndio ile unamkabidhi moyo kumbe mwenzako anataka umkabidhi mali
 
 
Back
Top Bottom