Wanandoa wengi hawapendani

Wanandoa wengi hawapendani

Nimeisoma kwa saut na kwa Nguvu ...Kuna watu hapa wameitioa nankusema Ni KWELI..hiyo neio Hali halisi...akina Mama wengi huwa wanaamini mwanaume lazima aanze kufa..
 
 
IMG-20220902-WA0262.jpg
 
 
[emoji1545][emoji1545]
 
Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.

Kwa wale tuliofata mapenzi na faraja ndoani ndo tunaoteseka mapenzi yakiisha
 
Ogopen wanawake huyu amepiga selfie na mume wake anaekata roho akamtumia mchepuko wake kumwambia sasa rasmi wapo huru na penzi lao[emoji174][emoji174][emoji174]
20230131_222515.jpg
 
Mwaka huu hizi ishu zimevuma sana hasa mikoa ya Arusha na Moshi, sijui kuna nini huko kwa watani zangu
Mkuu wachaga wala hatuna shida na mtu mkiwaparamia dada zetu inakula kwenu ,hawa tunawamudu sisi wenyewe[emoji16][emoji16]
 
Watakataa ila ndo ukweli

Wanaanzaje kukataa wakati asilimia 95% wanawake waneolewa na wale wasiowapenda na 95% wanaume wanewaoa wale wasiowapenda ndio sababu unaona migogoro na ukatili kwenye ndoa haviishi sababu hawa watu hawakupendana isipokua walioana sababu ya mihemuko au wamepeana mimba hivo wanataka kuficha aibu basi, ni 5% walipata bahati ya kumatch na hao ndio wana amani kwenye ndoa hapo hawapeani talaka, hawauwani, hawana migogoro mikubwa
 
Wanaanzaje kukataa wakati asilimia 95% wanawake waneolewa na wale wasiowapenda na 95% wanaume wanewaoa wale wasiowapenda ndio sababu unaona migogoro na ukatili kwenye ndoa haviishi sababu hawa watu hawakupendana isipokua walioana sababu ya mihemuko au wamepeana mimba hivo wanataka kuficha aibu basi, ni 5% walipata bahati ya kumatch na hao ndio wana amani kwenye ndoa hapo hawapeani talaka, hawauwani, hawana migogoro mikubwa
Nilistaafu mwaka jana nikiwa na miaka 60 kama Afisa Mwandamizi. Nilichukua akiba yangu ya milioni 97 kutoka benki, na nikatumia milioni 25 kuanzisha biashara ya mke wangu ili aweze kugharamia mahitaji yake binafsi. Sehemu ya pesa nyingine niliitenga pembeni kwa ajili ya matumizi ya familia yangu, huku nyingine nikiwekeza kwenye biashara yangu. Biashara ya mke wangu iliendelea vizuri kama yangu.

Miezi miwili iliyopita, mke wangu aliniomba nimpe milioni tano kwa ajili ya matumizi yake. Nilimwambia atoe kwenye biashara yake. Alikasirika na kusema atanionyesha.

Mwanamume mmoja alibisha hodi mlangoni kwangu wiki iliyopita. Nilifungua na kumuuliza alitaka kumuona nani. Alisema anatoka Serikali ya Mtaa, afisa anayesimamia PROGRAM YA UWEZESHAJI WAJANE. Kwamba mke wangu alituma maombi ya Msaada wa Wajane wa milioni 5 kwa kutumia Cheti changu Halisi cha Kifo. Hivyo amekuja kuthibitisha kama kweli mke wangu alikuwa mjane.. Nilishtuka na kukosa la kusema; Nilikaribia kuzimia. Nilimwambia mtu huyo kwamba mimi ni mume wake na bado niko hai. Nilimnyang’anya Cheti.

Yule mtu aligeuka nyuma bila kutamka neno lolote. Nilimuuliza mke wangu kuhusu hilo na akasema alitaka kuongeza mtaji kwenye biashara yake.

Leo asubuhi, viongozi wa Serikali ya Mtaa walikuja na Polisi kumkamata mke wangu kwa kughushi Cheti cha kifo changu ili kujipatia pesa kutoka serikalini kwa njia ya udanganyifu... Nashinda kupata ujasiri wa kwenda Kituo cha Polisi kumwekea dhamana mwanamke aliyetangaza kuwa nimekufa nikiwa bado hai.

Chanzo: Whatsapp group
 
Ndoa nyingi zimevaa barakoa
Huyu dada ni rafiki wa utotoni[emoji24][emoji24][emoji24]

Mariam wa (.....), Dada yake Vick aliyekua ameolewa na Paulo fundi bodaboda amefariki Dunia kwa stroke

Alishindwa kuruhusiwa hospital walikua na deni la 1.3m Hadi akapata stroke nyingine hapo hapo Muhimbili
 
Back
Top Bottom