Wanandoa wengi hawapendani

na bado watu tunalazimishana kuoa ?
 
Huyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengi
Your browser is not able to display this video.
 
Duh aiseeeeeeee ndio ile unamkabidhi moyo kumbe mwenzako anataka umkabidhi mali
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…