Wanandoa wengi hawapendani

Kudadeki mrembo ana uno hatari...aisee mwana ana haki ya kumuua maana ukawazia uno hilo anapewa jamaa mwengine unapagawa
 
Kiwanja cha mke nyumba ya mume, mke kaomba talaka mahakamani na mahakama ikaamuru mke abaki na kiwanja chake na mume ahamishe nyumba yake,mke kwa uzuzu akashangilia.Mume akaja na huo mtambo kuhamisha nyumba yake,mke abaki na kiwanja chake.

#glorysiahrimoyView attachment 2264801
 
Safi....maana mwanamke hajielewi
 
Nini tena
Kiwanja cha mke nyumba ya mume, mke kaomba talaka mahakamani na mahakama ikaamuru mke abaki na kiwanja chake na mume ahamishe nyumba yake,mke kwa uzuzu akashangilia.Mume akaja na huo mtambo kuhamisha nyumba yake,mke abaki na kiwanja chake.

#glorysiahrimoyView attachment 2264801
 
Tabu sana, kheri kujibakia alone sometimes
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sio kitu Cha ajabu,wote hao ni binadamu,kama ndugu wa tumbo moja hawapendani,we unashangaa hivyo vitu kwa watu mliokutanq ukubwani!??Ndoa sio kama mchezo wa draft,au kubet,kwenye ndoa usitumie akili ya kutafuta pesa,Wala akili ya kusoma na kufaulu mitiani,ndao inabidi ujitoe akili kidogo,ndio utaiweza,tatizo vijana mnaingia kwenye ndoa,mnatqka mtumie akili zenu za darasani,shule,kitaa kwenye hustles,kutatua mambo ya ndoa!!kumiliki mtu mzima sio mchezo,inataka akili kubwa!sio ile uliyosimuliwa kijiweni,jitoe ufahamu,get ur self out of equation(yaani kama mke inabidi akupikie,akufulie,jifanye kama yote hayo sio haki yako,yakija poa,yasipofanywa,Wala hutajisikia vibaya),baadae mke atashangaa mbona mwamba,amaind!!! Wala nini,nimemnyima,sijapika,nimetoka bila kuomba ruhusa!!
Baada ya muda atakuwa na heshima,
Mume kazi yake ni kupenda,Mke ni kutii tu,maagizo,sasa hv vijana mnachukua kazi ya mke,kutii,harafu mke ndio anapenda na kutoa maagizo!!hamuwezi kudumu!
 
Kumbe nami nimo kundi la vijana [emoji23] basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…