Wanandoa wengi hawapendani

Kwa uno Hilo jamaa lazima apagawe
 
Mambo hata magumu sana,nilioa mke wa kwanza akafariki,wa pili tukazinguana tukaachana,alinunua plot yake akiwa kwangu,nikanunua yangu ngoma ikawa draw,alinikuta na nyumba,tukaja zinguana na kuachana anadai tuuze nyumba tugawane Kuna jasho lake wakati kiwanja chale sijamuuliza chochote,nikamwambia nenda mahakamani,nikakumalize huko huko,mpaka Leo kimya anadai namtishia uchawi.
Mkwara tu mpaka Leo kimyaaa,nimeona mwingine Muha,naw simsomi ingawa nimepata name watoto wawili.
One day,watoto wamegombana,akatoa sentensi hiyo mpaka Leo namcheki tu,namnukuu,kwani katika Dunia ya Leo,maisha baba Hana thamani hata kidogo.
Namcheki tu,nikikaribia kustaafu MUNGU akinijaalia uhai natafuta sababu namtimua,kwanza Waha wachawi sana,mama mamaeeee zao
 
Namcheki tu,nikikaribia kustaafu MUNGU akinijaalia uhai natafuta sababu namtimua,kwanza Waha wachawi sana,mama mamaeeee zao[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story ukiisoma ni ya upande mmoja kwa baba hatujui upande wa mama ukoje , lakini Kiukweli wababa wengi wanazingua sana ,mm nimeshawahi kuona baadhi ya wababa tena wengi tu wakipata mafao ,mirathi au kihela chochote anaenda kula bata bar na vibinti vidogo na marafiki wake,hajali familia akiishiwa ndio anarudi nyumbani ,
mama ananyanyasika na kidogo anachopata anapambana kwa ajili ya familia ,wazee wa design hii ndio baadae wameishiwa na hakufanya la maana zaidi ya kula bata na watu baki mbali na familia uwa walalamishi kuwa familia haziwapendi tena .
Na kwa experience yangu haya mambo yapo sana kwa wababa wanaotoka kanda ya ziwa sanasana ndugu zangu wasukuma wababa tubadilike tupende familia tukipata hela , au chochote familia zetu ziwe ndio priority.
 
Sababu wanawake wengi walilazimisha kuolewa bila ridhaa halisi ya Mwanaume.

Wanawake huwa wanashinikiza kuolewa.

Wengine wanategesha mimba,

Wengine Kwa kuwatokea wanaume kwenda kuwaroga wawaoe,

Dawa zikisha expire Mwanaume anajiuliza moyoni hivi ilikuwaje nikamuoa huyu?!

Wanawake wanajionaga wajanja ku-force kuolewa kwa udi na uvumba, ni swala la muda mta-suffer the concequences.
 
Imeandikwa; “ Enyi binti Sayuni msiyachokoze mapenzi hadi yatakapoona yenyewe kufaa”

Msijione wajanja ku-force ndoa mtakuja kulipa gharama [emoji108]
 
Wengine wanazani wakizaa watoto chungu nzima ndio wataushika moyo wa Mwanaume aaah wapi !

Hata ukizaa wa kumfanana Mwanaume copy right [emoji108]

Hata wawe vipanga shuleni,

Bado kuukama moyo wa Mwanaume ni majaliwa [emoji108]

Nazani kupendwa Kwa dhati ni bahati kati ya mtu na mtu kwa huku Africa.

Sio kila mtu ako na bahati hiyo.

Unaweza kujitahidi kumtendea mtu mambo ukizani itasaidia lakini wapiii. !
 
Mwanaume haombi kifo kwa mkewe, japo anazo nyumba ndogo Ila upendo unabaki nyumbani. Mwanamke kwa kuwa tabia yao ni kuhamishia upendo kwa mchepuko, anatamani Bwana afe ili awe huru zaidi.
 
Tena saingine Mwanaume anapozidi kufanikiwa kiuchumi ndipo chances Na kuongeza uhusiano na wanawake wengine kunazidi.

Ijapokuwa Hata wanaume malofa hutoka na michepuko Pia.

Kuna wanawake wana upweke mtaani anahitaji Mwanaume yeyote amkune walau asiwe mtu wa hasira na visirani.
 
Ni hivi ;

Mwanamke kama utaka kuolewa au kuwa na uhusiano kimapenzi na Mwanaume tajiri au mwenye kipato kuwa tayari ku-share kisaikolojia [emoji108][emoji108]

Asomae na afahamu.

Vinginevyo omba uolewe na mamuma fukara dhoofulhali [emoji108]

Sitetei uzinzi ieleweke hivyo.
 
Wanandoa wengi wanaishi kimkandamkanda tu.

Wanawake wengine hisia ziliishakata zamaniii.

Wamebaki kulea watoto tu basi [emoji108]

Penzi limebaki Historia.
 

[emoji28][emoji28][emoji28]hii nchi ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…