Wanandoa wengi hawapendani

[emoji41][emoji41] natafuta emoji ya kukohoa siioni
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], Wewe mzee hivyo unakuaje lonely?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
usimuoe huyo
 
Kuna familia moja nakaa nayo nami niko ndani ya hiyo family yan hivo ulivosema ndo linalosubiriwa mana kilakitu wanachohitaji duniani na sehemu nyingi za hapa duniani wameshaenda basi vitimbwi vya moyoni ndio vilivyobaki.Bora amani ya moyo kuliko furaha ya mali kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…