Wanandoa wengi hawapendani

Na cases nyingi zinawahusu wanandoa ambao wengi wao unakuta primary, secondary, au chuo wamesoma/ wamemaliza pamoja ...... of the same age or mume kamzidi mke mwaka mmoja. sasa kashamzalisha weeee mwanamke wa watu na kumfanye azeeke kabla yake (mwanaume) ndo wanaanzaga kuombea wake zao wafe ili wao sasa waishi na dogodogo wanaochepuka nao. Wanawake wengi hawana roho mbaya za hivyo labda wakwazwe sana na tabia za kihuni za waume zao.
 
Hii ni kweli kabisa ila inategemea sana msingi wa mahusiano ulikuwa ni nini!

Kama mahusiano yalianzishwa kwa dhamana ya maslahi matatizo yake ndio hayo sasa watu mkishazoeana na penzi kuchujuka.
 
.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…