Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na cases nyingi zinawahusu wanandoa ambao wengi wao unakuta primary, secondary, au chuo wamesoma/ wamemaliza pamoja ...... of the same age or mume kamzidi mke mwaka mmoja. sasa kashamzalisha weeee mwanamke wa watu na kumfanye azeeke kabla yake (mwanaume) ndo wanaanzaga kuombea wake zao wafe ili wao sasa waishi na dogodogo wanaochepuka nao. Wanawake wengi hawana roho mbaya za hivyo labda wakwazwe sana na tabia za kihuni za waume zao.Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Hii ni kweli kabisa ila inategemea sana msingi wa mahusiano ulikuwa ni nini!Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hii ni kweli kabisa ila inategemea sana msingi wa mahusiano ulikuwa ni nini!
Kama mahusiano yalianzishwa kwa dhamana ya maslahi matatizo yake ndio hayo sasa watu mkishazoeana na penzi kuchujuka.
Kwa sababu mmeoana kwa ajili ya show off
Wanawake wengine ni pasua kichwa , hawataki kusikia "baba mwenye nyumba" ila "mama mwenye nyumba " .Kukuondoa ni rahisi ili abaki na title kwa kila kitu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipi hilo..naona mwataka kulianzisha tena, lolz...kuna kabila flani linasemwa sana aisee..
Unalijua bwana!!Lipi hilo