Wanangu hawapendani

Umemuuliza Mama yao ni nani baba wa hao watoto? Usikute unaishi na watoto wa wanaume wengine ukidhani ni wako, wanawake hawa kwa kweli Mungu anawaona.
 
Unaweza kuwalaumi watoto lkn makosa yapo kwa wazazi. Watoto wanapozaliwa ubongo wao unakuwa mweupe kama karatasi lkn matendo tunayoyatenda kwao ndio yanayojijenga kwenye ubongo wako.
Katika suala la malezi tunaambia wazazi tuwekeze katika umri wa mtoto kuanzia akiwa na miaka 0 hadi 8 ambapo ubongo wake unakuwa kwa asilimia karibia 90.

Mimi mwanangu nilikuwa nikimnunilia zawadi namnunulia na ziada . Kama pipi basi mbili tukifika nyumbani namwambia hiyo moja ampe mtoto mwenzie. Ile ilimjenga hata alipoenda chekechekea akibeba vitafunwa atawakati wenzie wote kidogokidogo.
Na hata kama tupo barabarani akimkuta hata mtoto mwenzake akiwa na chochote mkononi lazima ampatie.

Matendo yote ambayo wazazi tunayafanya ndo ambayo watoto wanaiga.
 
Hii thread imeandikwa na watu wawili tofauti? Ni kama alieandika juu ana akili kiasi, na alieandika chini hana hata kitunzia akili
 
Hata akifa pulosipa huyo mdogo wa mke wa pili asipewe mali nyingi atazitapanya
 
Hii thread imeandikwa na watu wawili tofauti? Ni kama alieandika juu ana akili kiasi, na alieandika chini hana hata kitunzia akili
Nadhani ni moderators ndo walikuwa wanajaribu kuiweka sawa... Maana jana iliandikwa km unavyoiona kwa chini kuanzia kwenye heading ila moderators wakaiweka sawa

Jf ni yetu sote, hivyo tusiukosoe mwandiko bali tuchangie kilichoandikwa kwasababu kinaeleweka
 
Kapime DNA
 
Wewe ni Mtanzania kweli? Hii lugha gani umeandika hapa?
 
Migration njooni Kuna mrwanda huku kajichanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…