Kwakweli kama mzazi naumia na nakosa raha sana
Ni vijana wangu, huyu mdogo hana kabisa heshima kwa kaka yake, nimepoteza hela nyingi kumgharamia ila amevuruga kila kitu
Na mama yake hakiwa mtetezi wake mkuu
Niliwaita, wote wawili jana na nikawaambia ule wimbo wa baatu buduju,nyie watoyowa baba mmojaa
Kama malizipo, kama manyumba yapoo, nyie ni watoto wafaza mmoja, nyie niwatoto wa dadi mmoja
Nikawashikinisha mikono nakuwataka wapendane, kwani wawo nivijana wangu
Nachoja sana, huyu mudogo pulosip.a ni musubufu saana
Nimepoteza zadi ya miriwonu sabibi kumushugurikiya,ira amevuruda naamama, yakeanamutetea uyu muke wagu mudogo yurewa piri
Wakubwa wezangu, mali zipo ila vijana wangu hawapendani, nakosa furaha.