Wanangu wa JF leo nimelewa hadi sielewi! Ijumaa Kareem!

Umefuraaahi mwenyewe, safi sana.
 
Umelewa vipi na wakati umetoka kupiga kizinga cha 5k, Ulivyonyimwa ukafuta reply!!!!

Anyway enjoy your weekend.
😂😂 Kaka, usihukumu haraka hivyo. Mambo ya jana si lazima yawe ya leo. Weekend njema pia, mkuu! 🤝
 
Kuna watu wamejifungia mahala wananyanduana gharama zilizotumika unanunua tractor sasa mm ni nan 🤔🍺🍺🍺🍺🍺🍺
😅😅Mkuu, acha kujilinganisha na watu, kila mtu ana level yake. Wewe kwanza hesabu hizo bia, tractor bado ipo mbali! 🍺🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…