Wanangu wa JF leo nimelewa hadi sielewi! Ijumaa Kareem!

Wanangu wa JF leo nimelewa hadi sielewi! Ijumaa Kareem!

Nani anakufuatilia?

Wewe si ndio kila dakika unaanzisha uzi kwa kila unachokifanya?

Wewe unayeanzisha nyuzi za kulalamika maisha magumu na kuomba elfu 20 humu ndio uniajiri mimi?
Mkuu, usichanganye historia yangu na uwezo wangu wa leo. Kama una hoja, ijibu hoja, si kurudia yaliyopita. Maisha yanafundisha na watu wanabadilika, usibaki kunihukumu kwa ukurasa mmoja wa kitabu changu.
 
Wewe Kuna mahali umeandika unaomba msaada wa elfu 30....kumbe ni mlevi aisee🤣
Acha pombe au punguza
😂 Mkuu, usihukumu hali yangu ya sasa kwa historia yangu. Kila mtu ana mapungufu yake, muhimu ni kutambua makosa na kujirekebisha. Maisha ni kujifunza na kusonga mbele. 🤝
 
Back
Top Bottom