Labella JF-Expert Member Joined Jun 26, 2024 Posts 3,545 Reaction score 7,624 May 30, 2026 #101 gwapole said: Tatizo pesa sina! Mimi kapuku tu. Click to expand... Sema kweli G 😹 Pesa unazo bana papaa..!!
gwapole said: Tatizo pesa sina! Mimi kapuku tu. Click to expand... Sema kweli G 😹 Pesa unazo bana papaa..!!
G gwapole JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 2,599 Reaction score 4,674 May 30, 2026 #102 Labella said: Sema kweli G 😹 Pesa unazo bana papaa..!! Click to expand... Kwanza Leo hata sijala mchana ujue. Tajiri hajatulipa mshahara wetu wa mwezi wa tano.
Labella said: Sema kweli G 😹 Pesa unazo bana papaa..!! Click to expand... Kwanza Leo hata sijala mchana ujue. Tajiri hajatulipa mshahara wetu wa mwezi wa tano.
Labella JF-Expert Member Joined Jun 26, 2024 Posts 3,545 Reaction score 7,624 May 30, 2026 #103 gwapole said: Kwanza Leo hata sijala mchana ujue. Tajiri hajatulipa mshahara wetu wa mwezi wa tano. Click to expand... 😹😹😹 Wewe mi nataka unitumie vocha hapa acha zako..!!
gwapole said: Kwanza Leo hata sijala mchana ujue. Tajiri hajatulipa mshahara wetu wa mwezi wa tano. Click to expand... 😹😹😹 Wewe mi nataka unitumie vocha hapa acha zako..!!