Wananichanganya sana pliz naomba mnisaidie!

Huyu ni yule yule aliyekuja na stori ya UDOM, kabadili jina tu, I guess ana waprovoke watu makusudi na anaenjoy comments zinazotolewa, don't be suprised kama si mwanaume.
 
Huyu ni yule yule aliyekuja na stori ya UDOM, kabadili jina tu, I guess ana waprovoke watu makusudi na anaenjoy comments zinazotolewa, don't be suprised kama si mwanaume.

Mkuu umeona eeehhh inawezekana kabisa
 
ha ha haaaa...kumbe ndo wale wanajiita sharobaro/shalobalo!!!! ha ha haaaa...duh mambo ya kualalumper univasity malesyia teh teh teeeh....
huyo co sharobaro bali ni sharomumy..
 
Ww co handsome ni mzuri a.k.a mrembo(mtt sio riziki) a man real can't talk such nonsense
 
una maana mapenzi ndiyo ulienda kusomea huko ulikuenda kusoma?wenzako wanawaza jinsi ya kupata kazi wewe unawaza jinsi kupata msicha.unaona akili yako ilivyo?.mademu siyo ishu.huyo anayekuzingua ukipata story zake za nyuma utaduwaa na unaweza ukazimia.mi nakushauri wote achana nao au kati ya hao ambaye atakubari mwende kupima ukimwi ndo anakufaa.mia
 
handsome bwooi again. Mwanaume hajisifii sura. . . U-handsome wa mwanaume upo mfukoni.

Anyway huyo binti hajakujibu siajabu
1. Kutwa unajisifia uhandsome aka utakua mr misifa

2. Huna kauli nzuri maana ushamwita mchangiaji stu.pid sasa huyo binti je?

3. Huna kazi, kipato akiangalia future unaendekeza uhandsome

4. Anajua kuwa hujatulia ndo maana umewapanga

la mwisho hakuna cha kuchanga hapo! Kupanga ni kuchagua mr handsome bwoi!
 
wewe nawe unatuzingua tu, handsome alafu demu kakukataa! alafu oooh mwngine simfeel, au ndo kakupiga kiboot? kama wewe handsome weka picha yako tukuone na mawasiliano yako, unawezakumfaa dada yangu kwenye kazi zake za fashion.
 
Duuh bora ht ungebaki usome bongo...nakuona km huna kitu cha maana kichwani eti...miaka 26 we ni mtu mzima ujue...hahaaa. Eti I HANDSOME...
 

Sasa andika kieleweke basi siyo kuchanganya kiingereza chenye grammar isiyoeleweka.
 
Hivi vitoto vya kitabu cha sura (facebook),we mwenyewe tatizo then unataka kuongeza tatizo jingine.
 
Hii ndio aina ya watanzania mnaotegemea wabadilishe Tanzania, Juha kweli wewe!

 

hajui makosa yake halafu ni handsome....Msamehe the finest.....mshauri tu.....
 
why not confused for being jobless???!
 
kuna zee moja linatafuta ma-handsome kama wewe atakuhudumia kila kitu lol!
 
Yaani kwa hizo comment hatorudi tena humu atakuwa kama yule Mr. handsome alivyokimbia Mhurumieni hapo ndio mwisho wake wa kuandika na kujieleza
Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME siachi and now on nipo kwenye kioo na ng'arisha sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…