Wananichanganya sana pliz naomba mnisaidie!

Wananichanganya sana pliz naomba mnisaidie!

Huyu ni yule yule aliyekuja na stori ya UDOM, kabadili jina tu, I guess ana waprovoke watu makusudi na anaenjoy comments zinazotolewa, don't be suprised kama si mwanaume.
 
Huyu ni yule yule aliyekuja na stori ya UDOM, kabadili jina tu, I guess ana waprovoke watu makusudi na anaenjoy comments zinazotolewa, don't be suprised kama si mwanaume.

Mkuu umeona eeehhh inawezekana kabisa
 
Ww co handsome ni mzuri a.k.a mrembo(mtt sio riziki) a man real can't talk such nonsense
 
una maana mapenzi ndiyo ulienda kusomea huko ulikuenda kusoma?wenzako wanawaza jinsi ya kupata kazi wewe unawaza jinsi kupata msicha.unaona akili yako ilivyo?.mademu siyo ishu.huyo anayekuzingua ukipata story zake za nyuma utaduwaa na unaweza ukazimia.mi nakushauri wote achana nao au kati ya hao ambaye atakubari mwende kupima ukimwi ndo anakufaa.mia
 
handsome bwooi again. Mwanaume hajisifii sura. . . U-handsome wa mwanaume upo mfukoni.

Anyway huyo binti hajakujibu siajabu
1. Kutwa unajisifia uhandsome aka utakua mr misifa

2. Huna kauli nzuri maana ushamwita mchangiaji stu.pid sasa huyo binti je?

3. Huna kazi, kipato akiangalia future unaendekeza uhandsome

4. Anajua kuwa hujatulia ndo maana umewapanga

la mwisho hakuna cha kuchanga hapo! Kupanga ni kuchagua mr handsome bwoi!
 
wewe nawe unatuzingua tu, handsome alafu demu kakukataa! alafu oooh mwngine simfeel, au ndo kakupiga kiboot? kama wewe handsome weka picha yako tukuone na mawasiliano yako, unawezakumfaa dada yangu kwenye kazi zake za fashion.
 
Duuh bora ht ungebaki usome bongo...nakuona km huna kitu cha maana kichwani eti...miaka 26 we ni mtu mzima ujue...hahaaa. Eti I HANDSOME...
 
Mkuu pliz acha jazba.dot be so stupid mi nimeandika utambulisho wangu ili nieleweke vizuri bt mi sio dogo I young handsome boy aged 26years old.kuhusu lugha nimeandika ili kufupisha tu mkuu na sio kama lugha inanisumbua.By de way mimi ninachoomba ni ushauri so pliz concetrate on what I 'm just asking hayo mambo ya chuo hayakuhusu.

Sasa andika kieleweke basi siyo kuchanganya kiingereza chenye grammar isiyoeleweka.
 
Hivi vitoto vya kitabu cha sura (facebook),we mwenyewe tatizo then unataka kuongeza tatizo jingine.
 
Hii ndio aina ya watanzania mnaotegemea wabadilishe Tanzania, Juha kweli wewe!

mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
 
Dogo tafuta kazi kwanza halafu i wonder if huko Malaysia hii ndio lugha uliyokuwa unafundishwa i doubt it yaani chuo ulichosoma kinaitwa kualalumper univasity malesyia nimejaribu ku-google hata sijaona such kind of name sasa sijui hicho chuo kiko
wapi.

hajui makosa yake halafu ni handsome....Msamehe the finest.....mshauri tu.....
 
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
kuna zee moja linatafuta ma-handsome kama wewe atakuhudumia kila kitu lol!
 
Yaani kwa hizo comment hatorudi tena humu atakuwa kama yule Mr. handsome alivyokimbia Mhurumieni hapo ndio mwisho wake wa kuandika na kujieleza
Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME siachi and now on nipo kwenye kioo na ng'arisha sura.
 
Back
Top Bottom