Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni yule yule aliyekuja na stori ya UDOM, kabadili jina tu, I guess ana waprovoke watu makusudi na anaenjoy comments zinazotolewa, don't be suprised kama si mwanaume.
huyo co sharobaro bali ni sharomumy..ha ha haaaa...kumbe ndo wale wanajiita sharobaro/shalobalo!!!! ha ha haaaa...duh mambo ya kualalumper univasity malesyia teh teh teeeh....
Mkuu pliz acha jazba.dot be so stupid mi nimeandika utambulisho wangu ili nieleweke vizuri bt mi sio dogo I young handsome boy aged 26years old.kuhusu lugha nimeandika ili kufupisha tu mkuu na sio kama lugha inanisumbua.By de way mimi ninachoomba ni ushauri so pliz concetrate on what I 'm just asking hayo mambo ya chuo hayakuhusu.
Unatumia kinywaji gani cheusidawa ? waiter chafua meza ya huyo mrembo lol!ni chuo cha mahandsome............google handsome university utakipata
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
Dogo tafuta kazi kwanza halafu i wonder if huko Malaysia hii ndio lugha uliyokuwa unafundishwa i doubt it yaani chuo ulichosoma kinaitwa kualalumper univasity malesyia nimejaribu ku-google hata sijaona such kind of name sasa sijui hicho chuo kiko
wapi.
Labda unajisifia na kujiweka juu
Kupita kiasi dear...
Unajua tena waswahili wasemavyo..
kwa anae jikwaza....
Polee
kuna zee moja linatafuta ma-handsome kama wewe atakuhudumia kila kitu lol!mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME siachi and now on nipo kwenye kioo na ng'arisha sura.Yaani kwa hizo comment hatorudi tena humu atakuwa kama yule Mr. handsome alivyokimbia Mhurumieni hapo ndio mwisho wake wa kuandika na kujieleza