proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Furaha yako iko 'mikononi' mwako.Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Huwa nashindwa kuelewa kwan hata nikicheka nao wananicheka sijui mi mchekeshaji.Yaan unamkosoa Mungu kwa uumbaji na unakosa furaha kisa meno tu?
Rethink...!!!
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Si uende hospitali wakayasafishe. Tabasamu lako lirudi. Au ulikuwa hujui?Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Asante mkuuFuraha yako iko 'mikononi' mwako.
Unazungumzia hayo meno kwenye avatar au? Hayo ya kwenye avatar yamewekewa urembo si ubovu utokanao na madini ya klorin.Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
hebu tuma kavideo ukiwa unacheka
hebu tuma kavideo ukiwa unacheka
Mmmh furaha ya kweli inatoka kwa Mungu wala sio binadam sasa kama unataka usifiwe na ukicheka wataman meno yako wakati umeubwa kwa kusudi pooleMungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Nenda hospitali za meno.wana safisha.yanakuwa meupe kama mwanzo.ila gharama.Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.