Wananisakama kuhusu meno yangu hadi tabasamu langu limeisha

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
 
Jirudishie Tabasamu lako mwenyewe. Hakuna aliyelichukua, zaidi umelificha kwa sababu ya manenonya watu.

Kama utataka zaidi, nenda hospital kasafishe meno, yatakuwa meupe kabisa na utafurahia sana......

Pili, kampani yako iwe watu wa Arusha. Waliozoea aina hiyo ya meno. Hata kama wana meno meupe, lakini yako watayachukulia kawaida maana wameyazoea. Mtafurahi na kucheka pamoja.

Pole sana Mkuu.
 
Alafu nikukumbushe tu, Mungu hajakuumba na meno ya aina hiyo. Umezaliwa na meno meupe pee!. Sema katika matumizi ya maji ya huko na aina fulani ya Vyakula, ndipo meno hubadilika rangi.

Sasa hapo sioni uhusiano m-baya wa Uumbaji wa Mungu na Tabasamu lako.
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
 
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Si uende hospitali wakayasafishe. Tabasamu lako lirudi. Au ulikuwa hujui?
 
Hospital ni za private tu ndio huwa wanatoa hizo huduma na zilivyo ghali sio mchezo.
 
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Unazungumzia hayo meno kwenye avatar au? Hayo ya kwenye avatar yamewekewa urembo si ubovu utokanao na madini ya klorin.
 
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Mmmh furaha ya kweli inatoka kwa Mungu wala sio binadam sasa kama unataka usifiwe na ukicheka wataman meno yako wakati umeubwa kwa kusudi poole
 
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
Nenda hospitali za meno.wana safisha.yanakuwa meupe kama mwanzo.ila gharama.
 
Mungu alivyoniumba sijui kakosea huwa nawashangaa hawa wananidiscuss kuhusu nilivyoumbwa wao wanajiona ni wazuri mimi ni wa ARUSHA na Meno yetu yalivyo nashindwa hata kucheka sijui nani atairudisha tabasamu langu.
300px-Dracula_1958_c.jpg
 
Back
Top Bottom