Wananisakama kuhusu meno yangu hadi tabasamu langu limeisha

Pole sana kwa hilo. Kwanini ukose Furaha kwasababu ya watu hao?
Nakulaumu kwa kuikaribisha huzuni hali ya kuwa wewe si kilema. Yaani meno tu!!!! Wakikucheka wewe ongeza kuwaonesha meno. Wapo watu wanaoweza kosa Furaha ila si kwa meno ya aina hiyo
Kwa kweli
 
Ndugu nakuja inbox kupata ufafanuzi kidogo wa sms yako! Kuna kitu utaweza kunisaidia kupata ufumbuzi!
 
Pole sana kwa hilo. Kwanini ukose Furaha kwasababu ya watu hao?
Nakulaumu kwa kuikaribisha huzuni hali ya kuwa wewe si kilema. Yaani meno tu!!!! Wakikucheka wewe ongeza kuwaonesha meno. Wapo watu wanaoweza kosa Furaha ila si kwa meno ya aina hiyo
Kweli asee
We unadhani waliotengeneza meno ya dhahabu walipata wapi idea ? Waliangalia meno ya watu wa Arusha yakawavutia wakaona na wao watengeneze kama hayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…