Wananisakama kuhusu meno yangu hadi tabasamu langu limeisha

Wananisakama kuhusu meno yangu hadi tabasamu langu limeisha

Pole sana kwa hilo. Kwanini ukose Furaha kwasababu ya watu hao?
Nakulaumu kwa kuikaribisha huzuni hali ya kuwa wewe si kilema. Yaani meno tu!!!! Wakikucheka wewe ongeza kuwaonesha meno. Wapo watu wanaoweza kosa Furaha ila si kwa meno ya aina hiyo
Kwa kweli
 
Jirudishie Tabasamu lako mwenyewe. Hakuna aliyelichukua, zaidi umelificha kwa sababu ya manenonya watu.

Kama utataka zaidi, nenda hospital kasafishe meno, yatakuwa meupe kabisa na utafurahia sana......

Pili, kampani yako iwe watu wa Arusha. Waliozoea aina hiyo ya meno. Hata kama wana meno meupe, lakini yako watayachukulia kawaida maana wameyazoea. Mtafurahi na kucheka pamoja.

Pole sana Mkuu.
Ndugu nakuja inbox kupata ufafanuzi kidogo wa sms yako! Kuna kitu utaweza kunisaidia kupata ufumbuzi!
 
Pole sana kwa hilo. Kwanini ukose Furaha kwasababu ya watu hao?
Nakulaumu kwa kuikaribisha huzuni hali ya kuwa wewe si kilema. Yaani meno tu!!!! Wakikucheka wewe ongeza kuwaonesha meno. Wapo watu wanaoweza kosa Furaha ila si kwa meno ya aina hiyo
Kweli asee
We unadhani waliotengeneza meno ya dhahabu walipata wapi idea ? Waliangalia meno ya watu wa Arusha yakawavutia wakaona na wao watengeneze kama hayo...
 
Back
Top Bottom