Wananiwangia nawasikia, niwafanyaje hawa?

Wakuu

Nimekuja hapa nina andika kwa ghadhabu kidogo 🙁

Kuna watu wanasema Uchawi haupo ila upo na unakera haswa hatukatazi watu kufanya mambo yao ila si mambo ya kuchezeana miili ni jambo linalokera sana

Kuna mambo unafanyiwa usiku ya ajabu ajabu sawa unaamka ila unakuta mwili wako unafanyiwa mambo ya ajabu ajabu yasio kichwa wala miguu

Niende kwenye point:

Kunakipindi nilisafiri nikaenda mkoani kitovuni kwangu uko kumamoto kaskazini,

Wakati nipo uko siku zote nilikuwa naenjoy maisha ya pale ila mauzauza yalianza pale nilipoanza kutembeatembea na kuchangamana na watu ktk vilabu,makanisani n.k

Wakati wa usiku hakuna rangi sijaiona mpka nikawa naona usiku mrefu

Kwanza ilikuwa nikilala nitaota ndoto za ajabu ajabu hazina kichwa wala miguu, alafu nikiamka asubuh nimezisahahu zote sikumbuki hata moja,

Nikamweleza mwenyeji wangu mzazi wangu akanambia uwe unasali usiku,binafsi ninasali ila juu juu tu

Nikafuata ushauri wake nikawa nasali sana, sasa usiku nikiwa nimelala usiku mzito usingiz unakata ilanakuwa nimefumba tu macho,

Sasa nikiwa nn imejiegesha naanza kusiia kama kuna kitu sicha kawaida kinanisogelea mi nakisikilizia tu, huku nasali kimya kimya,

Kinavyonisogelea. Moyo unaanza kwenda spid sana kwa gafla, na joto kupanda zaid,
Hatua ya kwanzab kinakuja puani na mdomoni nasikia kabisa kitu chenye joto kinaingia puani mpaka sinus za pua zina tanuka wakati kinafanya ivo mi ninasali tu kimoyo moyo,

Wakati kinaingia puani na mdomoni moyo unazidi spid zaid na pumz inakuwa nzito kuhema ,joto lamwili linakuwa juu ,kikishatoka puani na mdomoni apo mdomo unakuwa upo wazi ,kinarudi tena najihisi tena kama kinanibana mbavu kinazunguka nami hadi miguuni,

Hapo hapo nahisi kama kitu kinaingizwa mdomoni tumbo linaanza kusokota ,kikimaliza kinakuja kiunoni kina . Ninabana kiuno sana mpaka najihisi kama haja

Hapo hapo naanza kuhisi kama kuna kitu kinavutwa kwenye korodani zangu,kinahangaika haswa mi hapo nasali tu, kinatoka kinarudi tena

Yani nakisikia kabisaa hapa kimeondoka hapa kimerudi tena yani. Kule ni baridi ila jasho linanivuja ,

Sasa asubuh nikamwelezea mzaz akanisisitza kusali.

Ila wakati naenda kujisaidia haja haitoki. Kabisa na sikua na iyo shida

Hali ikawa inaendelea nikazidisha maombi kule nikaamua kusepa maana usiku ulikuwa mrefu mno,kuanzia hapo ninatatizo la kusahau sahau ,

Skip those days njoo leo usiku

Nipo zangu nimelala huwa nachelewa kulala nalala saa saba usiku muda mwingi nakuwa online,

Nimezama kitandani leo nimelala mwenyewe nyumba nzima tangu ijumaa ,siogopi maana najua Yesu yu pamoja nami nikimwomba,

Nikalala vyema hadi saa tisa hivi usingizi ukakata nipo nimejifunika tu ,gafla nje nasikia mbwa wana bweka sana mfululizo sehemu ninayoishi nyumba nyingi zina mbwa ila wapo getini, mbwa wakawa wanabweka sana kuashiria kuna kitu wameona

Kama dk mbili hivi nikaanza hisi kunakitu si cha kawaida kinanisogelea, mbwa kule wakawa wapo kimya sasa awabweki tena

Iko kitu sàsa kama kawaida kikaanza mapicha picha kama niliyoelezea hapo. juu,

Nikawa nakemea sana kinatoka kinarudi tena kinatoka kinarudi nakisikia ,joto linapanda moyo unaenda kasi mnoo kikitoka unapoa, kikirudi unaanza upya,

Mi nakemea tu mara kikasepa kama dk mbili nikasikia mbwa wanabweka tena kikarudi nikahisi mwili unatetemeka mara mkono mara mguuni yani kama kilikuwa kinapambana kuniinua ila mi nikawa mbishi,

Kikasepa tena mbwa wakawa wanabweka mfululizo tena nikajuwa kimeondoka mazima kumbe bado kikaja tena nahisi sasa muda ule kilikuja na nia ya kunifuta kumbukumbu ,nikahisi hewa ya joto puani na mdomoni alafu kichwa kikawa kama kina stimulate nikasonya kikaacha, kikarudia tena nikafumbua macho, kikaacha ,

Kikasepa mbwa wakabweka tena ,mara kunguru wanapita kwa kikundi wanageuza kama mara tatu hivi,

Wapuuzi sana hawa watu wa gizani, nilikuwa naweza kuamka ila niliamua tu kulala nn isije nikakutana na mtu namjua mwisho wa siku nile visu asubuh watu waseme kajiua maana nipo mwenyewe na nimejifungia

Yani nahisi ndo mambo yao kila siku wamechukuwa ufahamu wangu, napoteza kumbukumbu,nadharaulika, sijiamini tena,nipo kama nimevalishwa uhusika usio wa kwangu, wameharib mfumo wa chakula wananilisha vitu vya ajabu,they hunt my potential m&fk,

Washenzi sana sitaki kumjua anaeniwangia ila sitaki aniwangie ,shusheni mbinu za kuwazibiti ambazo ni za kawaida
pole sana,siku moja njoo pugu utafute lodge uone mambo,
 
Wakuu

Nimekuja hapa nina andika kwa ghadhabu kidogo [emoji853]

Ukihisi kitu cha tofauti usiku umeshtuka washa taa alafu sikilizia, ukikaa gizani gubigubi washenzi watakuua.
Lakini inaonekana ni tego kabisa kukulipa ubaya uliowafanyia au potential uliyonayo. Kumbuka kote kote ulipofanya vibaya, watu unaofanya nao kazi na malengo uliyo share nao.
 
Wasije kuwa popobawa wanafuata jina lako hilo la kumamoto
 
Jinsi ya kuwadhibiti wachawi na wanga
 
Endelea kuomba sana msaada wa Yesu Kristo, jifunike kwa Damu ya Yesu kila asubuhi na wakati wa kulala. Nenda kwa waombeaji wa kweli wa Yesu Kristo ukaombewe na kuwekwa huru, yote yatakuwa sawa.
 
Imeshawahi nikuta hiyo hali,zidisha maombi hasa kila unapohisi hiyo hali inakujia,amka na uombe na kukemea kwa jina la Yesu, fanya hivyo kila unapohisi inakujia, pia usiwe unalala usiku bila ya kufanya sala,fanya maombi ya usiku hasa huo muda unapotaka kulala.

Pia maombi bila kuishi katika usafi ni kupoteza muda,kwani maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.

Hizo ni nguvu za giza zinakufuatilia, inaweza kuwa ni wachawi au hilo eneo lina mauzauza,wakishaona una msimamo na Mungu watakimbia na hutaona tena hizo hali,nowadays am sleeping like a baby...
Kabisa mkuu
 
Nenda kapime presha mkuu .inaonesha unatatizo la presha isije ikakusababishia strock. Sio uchawi nilishawai kuona hii kitu kwa mtu. Wai haraka
Presha inawezekana maana nikiamka kitandani haraka moyo unaenda mbio sana mpka nitulie ndo nakaa sawa
 
Kuna siku watakulimisha, utakuta matope mguuni asubuhi. Wanakutoa nje kupitia ncha ya ukuta, unalazwa kwa tumbo na mgongo wako unatumika kama meza. Wanakuchezea wanavyopenda. Hao watu kama kuna uwezekano wafutwe katika USO wa dunia. Mchana mpo wote ila usiku wapo kazini.
 
Wapuuzi sana
 
Endelea kuomba sana msaada wa Yesu Kristo, jifunike kwa Damu ya Yesu kila asubuhi na wakati wa kulala. Nenda kwa waombeaji wa kweli wa Yesu Kristo ukaombewe na kuwekwa huru, yote yatakuwa sawa.
Amen
 
Ukihisi kitu cha tofauti usiku umeshtuka washa taa alafu sikilizia, ukikaa gizani gubigubi washenzi watakuua.
Lakini inaonekana ni tego kabisa kukulipa ubaya uliowafanyia au potential uliyonayo. Kumbuka kote kote ulipofanya vibaya, watu unaofanya nao kazi na malengo uliyo share nao.
Kabisa hawa sio watu wazuri shenzi zao
 
Duuh....mi hapa sina cha kuchangia maana sijawahi experience hali hiyo au inayofanana na hiyo ingawa imani yangu ni kuwa hivi vitu huwa na haya mambo mara nyingi huwa yanaenda kwa wanaoyaamini...inawezekana kuanzia chimbuko lako mnaamini katika mambo hayo hivyo jaribu kuongea na ndugu zako vizuri labda kuna kitu wanakuficha pengine hata sio wanga labda ni mambo ya mizimu mizimu kwenye ukoo nalinganisha na simple answers ya mama kwamba uwe unasali nahisi kuna jambo analijua na wewe ndio hulifahamu na hali yenyewe imeanza baada ya wewe kurudi nyumbani na sasa imeendelea mpaka huko uliko means ulienda kuikurupua na sasa inakuandama tofauti na before
 
Wewe ni wakike au wakiume? Ati Kumamoto wacha moto uwake tu hamna namna.
Hewa unayoihisi mdomoni na puani inaakisi jina ulilojipachika kule ni kwa moto kweli kweli ndio maana unakuta kwa mfano mimi ni mweupe lakini mb**o nyeusi yaani imeokwa.
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom