Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu

Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu

World cup.
Mataifa ya africa afcon.

Aisee huko tutawashanza wengi nakuambia.

Kwenu CCM tunaomba timu ya ushindi muiingize kambini iboreshe mbinu nyingi zaidi.

Watanzania tumechoka kua kichwa cha mwendawazimu aisee.
 
Unadhani kimataifa ni kama unatafuna ubuyu...

Uliza wale tuliyowapelekaga visiwa vya Comoro zilirudi buti tuu...

Cc: mahondaw
 
Magoli,nyavu,filimbi ya refa vyote vitaibiwa,ikiwezekana hata faulo,penati zote zitaibiwa D,,,D,,,D,,[emoji23][emoji23]
maweeeee,yoh,,,yoh,,,yoh,,,[emoji23]
 
Kama mkiwapeleka timu yao ya mpira watakuwa wanangojea half time wenzao waende mapumziko... ndo wafunge😂😂
 
Back
Top Bottom