Wananzengo tuingie "field" kuusaka ugomvi binafsi kati ya Rais Magufuli na Benard Membe

Wana CCM mlioko CCM mnajifunza nini ktk kutenda haki, Membe leo amekuwa dhalili wakati alijiona yy ndo CCM wa milele, aliitetea tume ipo huru lkn sasa hawezi kusema ni tume huru, aliipinga katiba ya Warioba lkn sasa anaitamani.
Mnafiki na mpenda madaraka. Anavuna aliyopanda
 
Hata JK anasikitika kuipinga ile katiba.
Wana CCM mlioko CCM mnajifunza nini ktk kutenda haki, Membe leo amekuwa dhalili wakati alijiona yy ndo CCM wa milele, aliitetea tume ipo huru lkn sasa hawezi kusema ni tume huru, aliipinga katiba ya Warioba lkn sasa anaitamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa ameruhusu katiba mpya angefanya ivyo. Lakini aliifunika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah... kikawaida wanaume hugombana kwa ajili ya vitu vitatu tu.....madaraka, pesa na wanawake[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Wana CCM mlioko CCM mnajifunza nini ktk kutenda haki, Membe leo amekuwa dhalili wakati alijiona yy ndo CCM wa milele, aliitetea tume ipo huru lkn sasa hawezi kusema ni tume huru, aliipinga katiba ya Warioba lkn sasa anaitamani.
Kweli cheo ni dhamana, ukikipata kitumie vyema maana ipo siku hautakuwa nacho na utakitamani kukipata tena.

Miaka mitano iliyopita, tarehe kama hizi, Membe alikuwa ni waziri wa juu ndani ya serikali ya CCM, huku akiandaliwa kwenda kukikalia kitu cha urais wa Tz baada ya Kikwete. Wakati huo familia ya Kikwete ikiwa ni ufalme unaotawala Tanzania, yaani kuanzia baba, mama, watoto mpaka mabinamu wakitafuna raha za magogoni, wakigawa na kugawana vyeo kama karanga. Leo hii wote kimya, hawana tena cha kuringa, kitumbua kimeingia mchanga.

Ipo siku, tena sio nyingi sana hata hawa akina Makonda, Magu, Bashiru, Pole Pole nk nao watakuwa kando, wakidhihakiwa, kuzodolewa, kutukanwa, kufukuzwa au kushtakiwa na watu wale wale waliokuwa nao ndani ya CCM.

Ngoma bado mbichi.
 
Hivi watu wengine mnakunywa mapuya? Uingie field kupambana na kiongozi ambae 80% ya wananchi wanamuona kama mkombozi wa wanyonge. 20% mliokuwa mnakula pesa na matunda ya ufisadi mnachukia.Msitafute tabu. Leo mtu anaonewa anaandika barua magogoni na anasaidiwa.
 
Wana CCM mlioko CCM mnajifunza nini ktk kutenda haki, Membe leo amekuwa dhalili wakati alijiona yy ndo CCM wa milele, aliitetea tume ipo huru lkn sasa hawezi kusema ni tume huru, aliipinga katiba ya Warioba lkn sasa anaitamani.

Sisiemu ni genge la kihalifu kama magenge mengine!!
 





NATAKA NIWASAIDIE NDG ZANGU
IKO HIVI! Tanzania Hatuna Vyama Vingi Vya Siasa! Tuna chama kimoja CCM na matawi yake! Kuanzia Chadema, Cuf,Nccr, Tlp, Act, Nahivi vingine vidogo vidogo!
Kwanini naamini hivyo!... iko hivi kati ya vyama vyote vya siasa tulivyo navyo sijaona chama ambacho kimesimama kudai mambo ya msingi au kupigania haki za watanzania bila kutukana, kung'ang'ania madaraka, kujinufaisha, au kutumika ktk kuhujumu nchi.
Baadhi ya vyama tulivyo navyo vingi haviishi kulalamika, viongozi wake kujinufaisha,kuleta vurugu au kuombea amani ya nchi ivurugike nk. Je hivyo nivyama vya siasa?
Ndo maana utasikia mara wamejitoa mara wanasusia! Loh!...unasusa kula ukiwa na njaa!!! Hakika utaumia tu. Wewe kula harafu sema sasa au tafuta njia mbadara!
Huwezi kuwa mwanasiasa mzuri wakati huo unakaa na kuihujum nchi yako! Tumeshuhudia zitto k. akienda kuzuia nchi isipewe mkopo kisa uchaguzi! Hiyo nayo nisiasa? Mwingine anachonga mchongo ndege zikamatwe huyu nae nimwanasiasa! Mwingine kashinda harafu anapewa umakam wa Rais anakubari huyu nae nimwanasiasa, wengine wanaombea Dam imwagike, hao nao niwana siasa! Mwingine anaombea Raisi afe kana keamba akifa atakuwa yy Rais huyo nae nimwana siasa?
Sijaona mwanasiasa Tanzania anaekubari kupongeza mema ya mwenzake nakudai mambo mengine ambayo km angekuwa yy Raisi angeyafanya! Kila siku nikupinga kila Budget nikupinga! Unakaa unajiuriza km nikupinga kilakitu inamaana bila wabunge wa ccm hata wafanyakazi wasingepata mishahara, wananchi tusingepata madawa nk.
Niishie hapa kwakusema! Ili tuwe na chama cha siasa imara! Mpaka mtu atoke ccm kwania njema ya kuanzisha chama mbadara ,mwenye mawazo mbadara,asiyetukana, mtu atakaekuja na hoja za msingi kwa maendereo ya chama na taifa kwa ujumla.na asiwe mwanasiasa wa kujinufaisha yeye na rafiki zake au jamaa zake, awe tayari kusifu na kupongeza jema la mwenzake ila asione aibu kukosoa na kupigania haki za watanzania wte nasiyo za baadhi ya makundi tu km vile bodaboda nk.

Wanasiasa wengi waliopo sasa ni njaa tupu ! Wamebaki kuhadaa wananchi wenye uelewa mdogo nakuwangiza kwenye maandamano waambulie virungu huku wao na watoto wao wakila viyoyozi.
 
Mzee kweli kabisa! Mimi mmoja wao nilionewa nikaandika barua kwa katibu mkuu kiongozi tatizo lilifanyiwa kazi haraka na walionionea wte walikamatwa na nikapata haki yangu. Myonge myongeni haki yake mpeni.
Magufuri anaangushwa na mfumo wa mafisadi walioachwa kama mazaria ila kwakeli jamaa ni MASHINE.
 
Usikute walinyang'anyana mademu tu.

ccm walivyo waasherati sitashangaa kulisikia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu niweke kumbukumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawezaje kugombana na Rais?!

Kawadanganye Ufipa wenzio!
Kwa Tanzania haiwezekani maana hata hao wenye hizo nafasi are not professional kuweza kujitambulisha ni wapi wanasimama kama rais ,mwenyekiti wa chama au baba jesca
 
Sijui nini kifanyike hili zimwi linaloitwa ccm lionkoke akilini mwa wadanganyika?Maana unapokuwa na watu wanaoamini kuwa bila ccm hakuna Tanzania wala maisha,unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…