Wananzengo tuingie "field" kuusaka ugomvi binafsi kati ya Rais Magufuli na Benard Membe

Et hakikupata mafua huku ukisahau mbeleko mnayoipata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Kiburi kimemtokea puani. Eti anajiamini! Umaarufu wake na jeuri vimeishia hapa. Kumbuka hakuwa na umaarufu kama wa Lowassa au Sumaye. Hawa walisalimu amri, sembuse Membe!
Ni kweli Membe sio maarufu kama alivokuwa Lowasa!Lakini ujinga wa jpm ndio umempa umaarufu sasa!!!Kwa sasa hata mimi nisie maarufu nikipewa ridhaa ya kugombea uraisi namshinda jpm tena kwa kishindo kikubwa!!Tume iwe huru na haki tu!!!jiwe hata shetani hawezi mchagua kuwa namba wani!!!
 
Ndugu ungeandika hata kikwenu ungeeleweka lugha uliyotumia haielewek co vbaya kuanza hata QT utafika tu ucjal
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku akiogopa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Kiburi kimemtokea puani. Eti anajiamini! Umaarufu wake na jeuri vimeishia hapa. Kumbuka hakuwa na umaarufu kama wa Lowassa au Sumaye. Hawa walisalimu amri, sembuse Membe!
Lowassa alikuwa na umaarufu huko mitaani huyu atapotea mapema zaidi kwani umaarufu wake ni wa facebook na twitter walipo kina Maria Sarungi na wasomi wengine wachache.
 
Wana CCM mlioko CCM mnajifunza nini ktk kutenda haki, Membe leo amekuwa dhalili wakati alijiona yy ndo CCM wa milele, aliitetea tume ipo huru lkn sasa hawezi kusema ni tume huru, aliipinga katiba ya Warioba lkn sasa anaitamani.
Upanga unaokata kuwili😅
 
Tutakua tumesogea siku ikiwa vyama viwili tu chama na tawala na chama pinzani, kama US
 
Kwa kweli sikudhani wangemkatilia mbali namna hio...wameprove he is really a threat!!..kuna ujumbe hapo kwa kweli
 
Lakini moyoni mwako unajua uliyoyasema siyo ya kweli eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…