Wananzengo wanaulizia Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato mbona hatuisikii, Je bado ipo?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Hifadhi hii ilianzishwa wakati wa awamu ya tano, wanyama wakasafirishwa kutoka maeneo mbalimbali kuelekea Chato kwenye kitovu cha utalii.

Muda umepita, hifadhi hii haisikiki tena. Wadau wanaulizia bado ipo, au wanyama washarudi kwenye sehemu zao za asili?
 
Tuache asee sisi tunaenda Zanzibar sio Chatu
 
Imekufa kama zinavyokufa zingine
 
Promo hamna ila ipo na imadunda.
 
Hifadhi za Taifa Huwa zinatengenezwa au zinatokeaga Naturally!
Zina Taratibu Zake, Kuanzia Pori La Akiba, Mfano Morogoro Unapoelekea Chalinze
Kuna Pori La Akiba Linaitwa Wami Mbiki Lina Kwenda Mpaka Daraja La Wapi

Miaka Inavyokwenda Na Linavyotunza Uzalianaji Wa Wanyama, Baadaye Hupewa Hadhi Ya Hifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…