Wananzengo wanaulizia Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato mbona hatuisikii, Je bado ipo?

Mwezi wa 12 nilienda kutalii.Yaani Hadi Raha nilijionea swala,pu familia na twiga na tukala nyama pori.Tumuomba mama aongeza na wanyama wengine ili watu tufurahie maisha
 
Kaka Kigwangala please tu naomba msaada!
 
Sijui huyu Mwanakondoo naye watamkamata kama yule Balozi Paroko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…