Wanao post clip kwenye mitandao ya kijamii hupata vipi kipato?

Hapana simaanishi hivyo sema tu hilo jila lako lina sound negative , jambo ambalo kwa mtazamo wa kwaida tu umaskini sio jambo jema la kuji shikiza nao , usijali sana inawezekana nimeshalewa labda .
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Ahaa sawa nimekusoma mkuu natumai muda sio mrefu naweza kulibadilisha
 
ahaa ni vigezo vipi?
youtube unahitaji 1,000 subscribers na uwe umetazamwa kwa jumla ya masaa 4,000 ndani ya mwaka ama uwe umepata views 10,000,000 kwa shorts ndani ya siku 90

instagram unahitaji followers 10,000 kwenye account ya business au creator

kwa X.com, unahitaji 500 followers ambao ni verifiedπŸ˜‚, maudhui yako yawe yametazamwa na watu 5,000,000 ndani ya miezi 3, na uwe umelipia premium au verified organization

kwa tiktok nasikia kuna vizawadi vinatumwa kwenye livestream, fuatilia... ila kwa bongo hawana mfumo wa kulipa

kwa facebook, page inatakiwa iwe na followers angalau 500, na iwe na umri wa angalau siku 90
 
Ahaa sasa nimepata mwanga kiasi, shukrani mkuu kwa mchango wako.
 
na hapo kwenye X, hao watazamaji wanaotakiwa ni impressions, yaani wale wanaooneshwa maudhui yako wakati wanaperuzi X,

wanaweza wakawa wamebofya kuangalia wakakupa views, au wakaendelea kupita tu
Ahaa hapa nachukua picha ya maelekezo haya yote nadhani yatakuwa yananisaidia kuyarejelea katika hatua nitakazokuwa napiga
 
Mzee wa kujipakulia minyama 😹😹

Kaka manyanza naomba afu tatu 😜🀭
 
Wengine wanafanya Hadi video elfu unakuta bado hawajaenda na Kuna wengine wakigusa wanaenda kikubwa NI kutokata tamaaa na kuwa na content za kutosha...unapokuwa maatufu dili ndio zinafunguka watu ktangaza kazi biashara zao kupitia wewe...na kinacholipa zaidi NI kuwa balozi wa kitu Fulani...
 
Mh ila ni kazi ya kujitole hasa, sema kwa kuwa huwa ni kitu cha ziada haisumbui sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…