youtube unahitaji 500 subscribers na uwe umetazamwa kwa jumla ya masaa 2,000
instagram unahitaji followers 10,000 kwenye account ya business au creator
kwa X.com, unahitaji 500 followers ambao ni verified😂, maudhui yako yawe yametazamwa na watu 5,000,000 ndani ya miezi 3, na uwe umelipia premium au verified organization
kwa tiktok nasikia kuna vizawadi vinatumwa kwenye livestream, fuatilia... ila kwa bongo hawana mfumo wa kulipa
kwa facebook, page inatakiwa iwe na followers angalau 500, na iwe na umri wa angalau siku 90