Wanao wa 'La Watu Nchini' wanalalamika kukatwa 'Mawokoto' yao ya July - August bila Utaratibu na Kujulishwa

Wanao wa 'La Watu Nchini' wanalalamika kukatwa 'Mawokoto' yao ya July - August bila Utaratibu na Kujulishwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ngoja GENTAMYCINE niendelee kukagua Nguo zangu Makabatini kama kuna ambazo zinafanana nao, ili Hasira zao za Kupunjwa kwa 'Mawokoto' yao Kiholela zisije Kuniangukia na nikajuta

Karibuni Ukumbini Kwao MZIZIMA SERVICE PARK Cow Way ili tutizame Mpira pamoja katika Screen yao Kubwa ya Tambara Kuu Kuu ( Chakavu ) iliyoweka katika Stage ya Bendi za Muziki zinazopiga ambayo Bendi isipokuwepo unageuka 'Kienyeji Kienyeji' kuwa Banda la Video.
 
Back
Top Bottom