Wanaoacha vyeo na kwenda kugombea ubunge, watapita wote wakiwa na kazi maalumu

Wanaoacha vyeo na kwenda kugombea ubunge, watapita wote wakiwa na kazi maalumu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Nakumbuka Polepole alitoa kauli akiwaonya wale wanaotaka kugombea ubunge huko wakiwa ni wateule kuwa huko ni kuwa na tamaa na akiwaonya juu ya kufanya hivyo huku akisema yeye aliongea kwa niaba ya anaaewateua.

Nadhani hata mteuaji mwenyewe alitoa onyo kama hilo hivi karibuni na wote mnajua jinsi wanavyomtii na kumuabudu.

Sasa katika mazingira haya yakiwemo na ya ugumu wa ajira,mnapoona watu wameacha vyeo vyao huko wakitambua hatari ya kufanya hivyo, mjue tu watu hawa hawaendi kubahatisha, bali kila kitu kikiko under control na wakishaingia mjengoni, wanakwenda kuunda kikosi kitakachokuwa na kazi maalumu,kazi ambayo mtakuja kuiona wakati ukifika.

Time will tell.
 
Kwa mfano kawe kuna wateuliwa zaidi ya wa3 jee wote wanapita au?
 
Mtu una ID feki, mb, simu, na unajua kuandika ila huelezi hao watu wanataka kufanya kitu gani
 
Basi ungesuburi 'wafanye' hiyo kazi ndiyo uandike maana kwa sasa huijui
 
Back
Top Bottom