Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

John dhambi
Wewe amini unachoamini

imani ni swala la mtu mwenyewe

Kama MUNGU HAYUPO

UTAMU KWENYE MAPERA HUA UNAWEKA WEWE?
 
Baki na imani yako na usiwe na mashaka yoyote boss
 
Naunga mkono na miguu hoja

Hapa hawatakua na lakujitetea kabsa
 
Naunga mkono na miguu hoja

Hapa hawatakua na lakujitetea kabsa
 
Uzi wenyewe ulioandika ni ad hominem fallacy , hakuna hoja yoyote ya msingi uliyotoa ya kueleweka hapa.
 
Kama umeshagundua kuwa Wazungu wamekuingizeni Chaka ni Bora uwe muislam kuliko kuzidi kujipoteza
 
Uzi wenyewe ulioandika ni ad hominem fallacy , hakuna hoja yoyote ya msingi uliyotoa ya kueleweka hapa.
Ww ndo unafanya ad hominem mm nimeongea maoni yangu kuhusu atheists na wanaoamini na trending ya dunia sasa hivi

Ww unaanza kushambulia mleta mada
 
Mkuu na wewe sasa umeshahamia kwa hao jamaa.wanao mkufuru mungu.
 
Ww ndo unafanya ad hominem mm nimeongea maoni yangu kuhusu atheists na wanaoamini na trending ya dunia sasa hivi

Ww unaanza kushambulia mleta mada
Ili uzi uonekane angalau una mantiki, ulitakiwa utoe angalau hoja kadhaa kwanini unadai hoja za theists hazina mantiki.

Siyo kuandika tu theists ni weupe ili hali nina uhakika hata nikifanya mjadala na wewe hapa, huwezi kujibu hoja zangu kwa logic zaidi ya kuni-attack, maana ndiyo kawaida yenu nyie atheists.
 
Weka hoja zako za kutetea uwepo wa Mungu
 
Kwanza onyesha hizo hoja zisizo kuwa na mantiki kama ulivyo dai, na ufafanue logic haipo kwenye nini?
Yani hoja zenu zote hazina mashiko hivyo hakuna haja ya kutaja moja moja, ww unaona zina mashiko zilete hapa lakini nakupa tahadhar usifanye circular reasoning tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…