.Inaelekea hujui mfumo mzima wa ujenzui wa shule hizi za msingi.ni vyema ukajielimisha kabla ya kulaumu.maana Ni ujinga kulaumu bila kufahamu.Mfumo au utaratibu wa ujenzi wa shule hizo.Wakulaumu ni wanakijiji wenyewe,DiwaniNK
Exactly!! sijui mfumo mzima wa shule za msingi mr/mrs knows all!!
Mwanakijiji utamlaumu vipi hapa?
Hivi wanakijiji wataambiwa kuna mabati na sementi wizara ya elimu kwa ajili ya ujenzi wa shule wakaacha kuyachukua? niambie kama kuna mwanakijiji yeyote anayependa mtoto wake aende shule akakalie mavumbi? I DONT THINK SO!
Fundi atapewa kazi na wizara ya elimu kujenga shule atakataa ajenge nyasi na udongo?
Kama kosa ni la wanakijiji basi kwanza angalia hapa;
Mjumbe wa nyumba kumi CCM,Serikali za mitaa sijui diwani, wote hao ninani kama sio CCM? Na hapo utakuta pia penginepo mh Mbunge ni wa CCM na kama unavyojua mbunge anaonekana kule akiomba kura akishapewa hafiki tena.
Unafikiri Mh kama anapita pale japokua sio kila siku lakini japo siku moja kwa mwezi wanafunzi wangekalia mavumbi?
Hebu muulize mbunge wa hilo jimbo kama anapajua hapo mahali, atapateteaje kama hajapafika na hapajui?
Saidsabke sijui wewe umejielimisha vipi lakini kwa ninanvyojua hasa watu walioelimika [sizungumzii serikali ya mafisadi] naongelea kule kwa wenzetu wamagharibi wenye akili! basi kama hizo images/ sehemu kama mhe, hajawahi kuziona mpaka zilipotolewa kwenye media basi na hata usingizi hata lala kuhofia kiti chake kwamba ataambiwa awajibike, tena wakuwajibika basi sio mjumbe wa nyumba kumi, diwani, au mbunge bali waziri wa elimu hasa aelezee kiurefu.
Saidsabke unajua ujinga ni kule kwamba huna unalojua na hutaki kujua lolote,
Wakati nasoma msingi kuna watu sio werevu sana darasani lakini wanatumia japo akili kidogo kuibia majawabu wenzao walivyofanya, wanaendelea hivyo hivyo mpaka vichwa vyao na wao vinafumbuka kwamba kumbe 1+1 = 2 hawa wanaitwa wajinga werevu.
Serikali yetu ina ujinga mwingi lakini haitaki kuujua na huu ndio unaitwa UJINGA kiswahili sanifu mbumbumbu.