Wanaoandamana kuunga mkono hotuba ya kikwete wanauelewa?

Wanaoandamana kuunga mkono hotuba ya kikwete wanauelewa?

Kama mpaka leo kuna watanzania hawajui kwamba Nyerere yu hai au la basi Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa.

Nakubaliana na wewe 110%! Your line of reasoning would make the following statement just as valid:

"Kama mpaka leo kuna watanzania hawajui malaria inatokana na mbu basi Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa."

"Kama mpaka leo kuna watanzania hawajui kwamba 1+1=2 basi Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa."
 
Kwani IQ inategemewa kupima upatikaji wa taarifa mzee? Kwanza kabisa kutumia kipimo cha IQ kujaribu kuelezea Intelligence ya mtu ni upotoshaji. Kuna mental ability nyingi ambazo hizi test haziwezi kuzipima. As a matter of fact these tests which are based on false assumptions have been shown to be the basis for various prejudices, especially scientific. The so called Scientific Racism. Naona wewe unaelekea kwenye Political racism usipokuwa mwangalifu.

Kuna requirements fulani ambazo ni fundamental au basic kwa maendeleo ya binadamu, moja wapo ikiwa ni werevu au akili ya mhusika. Hata IQ tests hupima pia ufahamu wa mambo au masuala muhimu yanayojiri nyakati fulani katika jamii fulani. Ikiwa mtu huru hawezi kufahamu au kufuatilia yanayotokea ndani ya nchi yake, licha ya teknolojia za upashanaji habari za kila aina katika jamii kuanzia redio, magazeti, luninga, simu za mkononi, mtandao na hata word-of-mouth, basi ujue hapo kuna walakini fulani kuhusiana na uwezo wa kiakili wa mhusika. Mtu kama huyo utakuwa unapoteza muda wako bure kujaribu kumsaidia kimaisha.
 
Kuna requirements fulani ambazo ni fundamental au basic kwa maendeleo ya binadamu, moja wapo ikiwa ni werevu au akili ya mhusika. Hata IQ tests hupima pia ufahamu wa mambo au masuala muhimu yanayojiri nyakati fulani. Ikiwa mtu huru hawezi kufahamu au kufuatilia yanayotokea ndani ya nchi yake, licha ya teknolojia za upashanaji habari za kila aina katika jamii kuanzia redio, magazeti, luninga, simu za mkononi, mtandao na hata word-of-mouth, basi ujue hapo kuna walakini fulani kuhusiana na uwezo wa kiakili wa mhusika. Mtu kama huyo utakuwa unapoteza muda wako bure kujaribu kumsaidia kimaisha.

Really????????????
 
Njabu IQ ya watu inakujaje? Ya kwako ilipatikanaje Mr/miss/mrs Njabu?

IQ ni kipimo cha werevu wa mhusika. Kama kweli Tanzania ya leo kuna watu ambao bado wanadhani J. K. Nyerere bado yu hai na isitoshe bado ni rais wa Jamhuri, basi bila kusita nitafikia uamuzi kwamba watu kama hao aidha ni wafungwa gerezani tokea mwaka 1998 ambao waliwekwa solitary confinement tokea at least 1998 hadi mwaka huu 2008 bila ya kuwa na access ya habari ya aina yoyote kutoka nje ya gereza, au basi wana matatizo makubwa ya kiakili aka werevu mdogo sana wa mazingira yao. Nadhani itakuwa si ajabu kufahamu kwamba watu kama hao pia hawajui kama wao ni Watanzania na wanaishi katika nchi inayojulikana kama Tanzania (achilia mbali haki zao kamili za uraia).
 
IQ ni kipimo cha werevu wa mhusika. Kama kweli Tanzania ya leo kuna watu ambao bado wanadhani J. K. Nyerere bado yu hai na isitoshe bado ni rais wa Jamhuri, basi bila kusita nitafikia uamuzi kwamba watu kama hao aidha ni wafungwa gerezani tokea mwaka 1998 ambao waliwekwa solitary confinement tokea at least 1998 hadi mwaka huu 2008 bila ya kuwa na access ya habari ya aina yoyote kutoka nje ya gereza, au basi wana matatizo makubwa ya kiakili aka werevu mdogo sana wa mazingira yao. Nadhani itakuwa si ajabu kufahamu kwamba watu kama hao pia hawajui kama wao ni Watanzania na wanaishi katika nchi inayojulikana kama Tanzania (achilia mbali haki zao kamili za kiraia).

Really?????????????????????
 
Really?????????????????????

Nadhani wewe ndiyo utakuwa yule taahira pekee kule New Orleans ambaye hadi hivi sasa angebakia kutokujua kwamba kimbunga cha Gustav kinajiri siku hizi, na mwishowe kuishia kuchukuliwa na maji kuanzia nyumba hadi mbwa yote sababu Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa.
 
Watanzania wengi ni waoga, wambea na wamekulia kukubali upuuzi bila ya kujiuliza mara mbili. Na pia wengi wanatabia ya kujipendekeza.

Wanaotaka kufanya maandamano ya kumpongeza ni kujipendekeza tu hakuna lingine.

Kwa upande wangu naandaa maandamano ya kumpiga na kumkosoa tokana na hotuba yake hiyo tokana na ukweli kwamba alichoongea ni porojo na utumbo mtupu ambao hata class monitor hawezi kuongea.
 
IQ ni kipimo cha werevu wa mhusika. Kama kweli Tanzania ya leo kuna watu ambao bado wanadhani J. K. Nyerere bado yu hai na isitoshe bado ni rais wa Jamhuri, basi bila kusita nitafikia uamuzi kwamba watu kama hao aidha ni wafungwa gerezani tokea mwaka 1998 ambao waliwekwa solitary confinement au basi wana matatizo makubwa ya kiakili aka werevu mdogo sana wa mazingira yao. Nadhani itakuwa si ajabu kufahamu kwamba watu kama hao pia hawajui kama wao ni Watanzania na wanaishi katika nchi inayojulikana kama Tanzania (achilia mbali haki zao kamili za kiraia).
Ni kweli nakubaliana nawe kwa sehemu lakini serikali ndiyo inatakiwa kuwaelimisha wananchi wake siyo? UKiona kuna watu wa jinsi hiyo elewa kuwa na serikali ndivyo ilivyo.
Kwa mfano mdogo tu: Niliona watoto na watu wazima wengi sana katika kijiji kimoja katika kata ya Ngenge kinaitwa Rutoro wilayani Muleba, wakiwa wameshambuliwa sana na funza miguuni. Na unajua kwa wale wanaofahamu jambo hili wanajua watu wa aina hii hata akili zao zinakuwa na kasoro kidogo au sana kutegemeana na kiasi gani mtu kashambuliwa na wadudu hawa, miguuni, mikononi, na katika viungo vingine vya mwili.
Nilijaribu kumdadisi kiongozi wa serikali ya mtaa wao wanamuita VEO au kwa kiswahili mtendaji wa kijiji. Huyu ndiye kiongozi wa serikali kijijini. Nilimuuliza kwa nini watu hawajari afya za watoto wao kwa kuwatoa funza miguuni? Naye alinijibu kuwa "Hapa tumepata mashambulizi makubwa ya funza kwa sababu ya dawa ya mbu iliyonyunyiziwa kila nyumba wakati wa zoezi la kupulizia dawa ya mbu lililofanyika hapa."
Zoezi hilo la dawa alilokuwa akilizungumzia ni zoezi lililoendeshwa na serikali kwa baadhi ya maeneo ya nchi hii ikiwemo na Zanzibar ku furmigate nyumba za makazi ili kuua mazalia ya mbu.
Zoezi hili lilifanyika wilaya ya Muleba na Karagwe pia baada ya kubainika kuwa kulikuwa na vifo vingi vya watoto tokana na Maralia. Na wananchi wanakili kuwa kwa sehemu kubwa malaria imepungua, vifo vya watoto pia, na mbu si wengi kama zamani.
Sasa, huyu VEO anasema hii ndiyo imesababisha funza wamekuwa wengi na wananchi wanashindwa hata kuwatoa miguuni mwa watoto wao.
Nilimwambia kuwa kitaalamu, dawa ya kuua mbu ni dawa ya kuua wadudu. Sasa yawezekanaje dawa hiyo iongeze kasi ya wadudu wengine? jibu lake akanijibu "Usiniambie nikujibu kitaalamu bali acha nikujibu jinsi ninavyoelewa"
Jibu hili la VEO lilinitisha kidogo na kuniacha confused. Yaani kiongozi wa kijiji wa serikali ya kijiji ana uelewa wa aina hii, je hapo kuna maendeleo kweli?
Kama kiongozi wa wananchi anaamini ujinga huo sasa anaowaongoza watakuwaje?
Matokeo ndio watoto wameathirika na funza kweli kweli na nadhani wazazi wamesadikishwa na kiongozi wao kuwa ni kwa sababu ya furmigation ya Mbu!
Ebu niambie serikali ikiamua kufanya zoezi lingine kama hilo itawezekana kirahisi?
Kitu kinachohitaji usafi tu wa nyumba za wakazi ambacho kiongozi huyo angehamasisha kimegeuka na kupewa sura tofauti na wananchi wanaendelea kuathirika huku wakiamini anayosema kiongozi wao ndio kweli.
Hapa serikali kama haifanyi evaluation ya watendaji wake katika vijiji unategemea nini? Maana kiongozi ni illiterate sasa nambie anaowaongoza?
Kweli njabu nakubaliana nawe kwa sehemu kwamba sometimes level of illiterate huko vijijini inachangia mambo kuharibika.
Zamani Nyerere alianzisha kisomo cha ngumbaru ili watu wapate mwanga. Ki wapi tena? Tunajidanganya kuwa watoto wamekwenda shule wote, na wanasoma katika mazingira ya kimaskini hivi, wanatoka wakiwa hawana kitu kichwani, wanachaguliwa kuongoza wenzao na matokeo ni watoto na wakubwa kushambuliwa na wadudu tu kama funza na wasibaini kwamba hii ni kwa sababu ya uchafu.
Serikali isijivue kwa hili. Inahusika.
Najua watazuka wakusema kuwa kila kitu tunaishambulia serikali, lakini habari ndiyo hiyo.
 
Nadhani wewe ndiyo utakuwa yule taahira pekee kule New Orleans ambaye hadi hivi sasa angebakia kutokujua kwamba kimbunga cha Gustav kinajiri siku hizi, na mwishowe kuishia kuchukuliwa na maji kuanzia nyumba hadi mbwa yote sababu Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa.

Wow.............Really???????????
 
Wow.............Really???????????

I reckon thats the only plausible reaction some cognitively challenged folks like you would be left wondering after the (progress) train has left the station (or in your case, your minutely better mentally endowed next-of-kin who would end up moaning and groaning "Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa!!", since you'd most likely end up as dead meat after hurricane Gustav has had its way with retards like you).
 
I reckon thats the only plausible reaction some cognitively challenged folks like you would be left wondering after the (progress) train has left the station (or in your case, your minutely better mentally endowed next-of-kin would end up moaning and groaning "Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa!!", since you'd most likely end up as dead meat after hurricane Gustav has had its way with retards like you).

Hahahahahaha.....for real, Njabu Ngabu aka Nyama Hatari aka Jumanne Athumani?????????????????????????
 
Back
Top Bottom