Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
.Inaelekea hujui mfumo mzima wa ujenzui wa shule hizi za msingi.ni vyema ukajielimisha kabla ya kulaumu.maana Ni ujinga kulaumu bila kufahamu.Mfumo au utaratibu wa ujenzi wa shule hizo.Wakulaumu ni wanakijiji wenyewe,DiwaniNK
Hahahhah mzee umenena!! Mshikaji anafukuzia kuwa mpiga picha wa raisi ama wa IKULU aweke hizi amwagie kitumbua mchanga?
Mi nadhani wewe ni mbumbumbu haswa maana umekaa mjini na hujawahi kutembea kokote. Siku zote kila analosema Rais kwako ni sawa hata kama kuna kasoro.Nadhani anayepinga kuunga mkono Hotuba ya Rais Kikwete ni mbumbumbu.Haelewi lolote kuhusiana na maendeleo ya Tanzania.kama hamna la kuzuungumza la maana ni bora ukae kimya.Kila rais wa nchi ametoa mchango wake katika maendeleo ya nchi hii hao wanaoona haja fanya lolote ni haayawani.
Hizi picha kamwe hutaziona kwenye blog ya Michuzi
Jamani,
Mnamlaumu bure Michuzi, yeye blog yake ni kwa ajili ya celebrities. Kutegemea Michuzi aweke picha za ndugu na jamaa wanaohangaika na misha kila siku ni sawa na kwenye Hello magazine utegemee kuona omba omba.
Yeye kaamua ku concentrate kwenye celebrities na kama mtu unaenda huko lazima utegemee hivyo. Vinginevyo njoo JF ambako utapata pande mbili za shilingi.
Mimi muda mrefu sijatembelea huko. Wengine tumeoa, kila siku kuangalia watoto wazuri, tunaweza kupata tamaa bure!
Darwin watoto hawana haki ya kukosa matibabu.Mchukia Fisadi huyo jamaa ni ufinyu wake wa elimu.
Kwani hajui kwamba maneno aliyosema JK yanapingana kabisa na hali halisi?
Maisha bora kwa kila mtazania!!?
Haya Saidsabke hao watoto sio watanzania?
Mchukia fisadi ahsante kwa picha zako, hii ndio inayotakiwa kuuelezea ulimwengu kwamba japo tuna Twins Tower ambayo ilichukua pia pesa nyingi za mvuja jasho, bali pia tuna umasikini.
Tena umasikini huo wakupindukia, asiyeyaona hayo hata kama anakwenda kanisani au msikitini basi haisaidii chochote.
Mtu yeyote aniambie kama hao watoto wana haki yakunyanyasika kiasi hiki. NI DHAMBI
Mtanzania unajua maana ya blog ya jamii?
Hebu angalia blog yake inasema nini leo
MFADHILI WA BLOG YA JAMII AFUNGUA DUKA JIPYA
Hao watoto wanaosoma kwenye mabanda ya kuku pia ni jamii
Unasema blog yake ni kwa ajili ya celebreties toka lini?
Ona hapa blog inayohusika na haya mambo unayosema
http://bongocelebrity.com/
Darwin,
Sijui wewe lakini mimi niligundua toka mwaka jana au juzi kwamba blog ya Michuzi ni ya celebrities. Mambo ya jamii ni marketing jargon tu.
Alichofanya yeye ni kitu kwenye marketing kinaitwa positioning na naona kafanikiwa sana.
Bahati mbaya mimi sio celebrity kwahiyo blogs za akina Michuzi naona hazinifai.
Naona blog ya Mjengwa inafaa zaidi.
Siku moja moja nikipata muda huwa natembelea kwa Michuzi kuangalia watoto wanavyopendeza kwi kwi kwi!!!
😀 😀Mtanzania,
Nadhani la muhimu ni kumtia moyo na kumshauri apunguze mambo ya kuifanya blog kama photo album ya familia za walio majuu maana kila ukifungua birthday sijui ya ankal nani sijui aunt nani sometimes inaboa we..
ukiwauliza Rais wa nchi hii wanasema ni Nyerere.!
Usisahau kwamba IQ pia ina-matter. Watu kama bado mwaka 2008 wanadhani Nyerere ni mzima (achilia mbali kwamba ni rais) basi lazima utilie mashaka IQ yao. Watu wa namna hii hawawezi kamwe kuendela hata uwajengee shule za kisasa za vyuma na vioo na kila mwanafunzi apewe MacBook Pro.
Really....?
Usisahau kwamba IQ pia ina-matter. Watu kama bado mwaka 2008 wanadhani Nyerere ni mzima (achilia mbali kwamba ni rais) basi lazima utilie mashaka IQ yao. Watu wa namna hii hawawezi kamwe kuendela hata uwajengee shule za kisasa za vyuma na vioo na kila mwanafunzi apewe MacBook Pro.
Njabu IQ ya watu inakujaje? Ya kwako ilipatikanaje Mr/miss/mrs Njabu?Usisahau kwamba IQ pia ina-matter. Watu kama bado mwaka 2008 wanadhani Nyerere ni mzima (achilia mbali kwamba ni rais) basi lazima utilie mashaka IQ yao. Watu wa namna hii hawawezi kamwe kuendela hata uwajengee shule za kisasa za vyuma na vioo na kila mwanafunzi apewe MacBook Pro.
Usisahau kwamba IQ pia ina-matter. Watu kama bado mwaka 2008 wanadhani Nyerere ni mzima (achilia mbali kwamba ni rais) basi lazima utilie mashaka IQ yao. Watu wa namna hii hawawezi kamwe kuendela hata uwajengee shule za kisasa za vyuma na vioo na kila mwanafunzi apewe MacBook Pro.