Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Kama mpaka leo kuna watanzania hawajui kwamba Nyerere yu hai au la basi Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa.
Una maana gani unapodadisi hoja kiuzembe namna hiyo bila kueleza msimamo wako? Hii siyo chat-board, umeelewa?. Fafanua nini unamaanisha kwa "Really....?"
😕Hey Njabu Ngabu, really really?
Kwani IQ inategemewa kupima upatikaji wa taarifa mzee? Kwanza kabisa kutumia kipimo cha IQ kujaribu kuelezea Intelligence ya mtu ni upotoshaji. Kuna mental ability nyingi ambazo hizi test haziwezi kuzipima. As a matter of fact these tests which are based on false assumptions have been shown to be the basis for various prejudices, especially scientific. The so called Scientific Racism. Naona wewe unaelekea kwenye Political racism usipokuwa mwangalifu.
Kuna requirements fulani ambazo ni fundamental au basic kwa maendeleo ya binadamu, moja wapo ikiwa ni werevu au akili ya mhusika. Hata IQ tests hupima pia ufahamu wa mambo au masuala muhimu yanayojiri nyakati fulani. Ikiwa mtu huru hawezi kufahamu au kufuatilia yanayotokea ndani ya nchi yake, licha ya teknolojia za upashanaji habari za kila aina katika jamii kuanzia redio, magazeti, luninga, simu za mkononi, mtandao na hata word-of-mouth, basi ujue hapo kuna walakini fulani kuhusiana na uwezo wa kiakili wa mhusika. Mtu kama huyo utakuwa unapoteza muda wako bure kujaribu kumsaidia kimaisha.
😕Really????????????
Njabu IQ ya watu inakujaje? Ya kwako ilipatikanaje Mr/miss/mrs Njabu?
IQ ni kipimo cha werevu wa mhusika. Kama kweli Tanzania ya leo kuna watu ambao bado wanadhani J. K. Nyerere bado yu hai na isitoshe bado ni rais wa Jamhuri, basi bila kusita nitafikia uamuzi kwamba watu kama hao aidha ni wafungwa gerezani tokea mwaka 1998 ambao waliwekwa solitary confinement tokea at least 1998 hadi mwaka huu 2008 bila ya kuwa na access ya habari ya aina yoyote kutoka nje ya gereza, au basi wana matatizo makubwa ya kiakili aka werevu mdogo sana wa mazingira yao. Nadhani itakuwa si ajabu kufahamu kwamba watu kama hao pia hawajui kama wao ni Watanzania na wanaishi katika nchi inayojulikana kama Tanzania (achilia mbali haki zao kamili za kiraia).
Really?????????????????????
Ni kweli nakubaliana nawe kwa sehemu lakini serikali ndiyo inatakiwa kuwaelimisha wananchi wake siyo? UKiona kuna watu wa jinsi hiyo elewa kuwa na serikali ndivyo ilivyo.IQ ni kipimo cha werevu wa mhusika. Kama kweli Tanzania ya leo kuna watu ambao bado wanadhani J. K. Nyerere bado yu hai na isitoshe bado ni rais wa Jamhuri, basi bila kusita nitafikia uamuzi kwamba watu kama hao aidha ni wafungwa gerezani tokea mwaka 1998 ambao waliwekwa solitary confinement au basi wana matatizo makubwa ya kiakili aka werevu mdogo sana wa mazingira yao. Nadhani itakuwa si ajabu kufahamu kwamba watu kama hao pia hawajui kama wao ni Watanzania na wanaishi katika nchi inayojulikana kama Tanzania (achilia mbali haki zao kamili za kiraia).
Nadhani wewe ndiyo utakuwa yule taahira pekee kule New Orleans ambaye hadi hivi sasa angebakia kutokujua kwamba kimbunga cha Gustav kinajiri siku hizi, na mwishowe kuishia kuchukuliwa na maji kuanzia nyumba hadi mbwa yote sababu Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa.
Wow.............Really???????????
I reckon thats the only plausible reaction some cognitively challenged folks like you would be left wondering after the (progress) train has left the station (or in your case, your minutely better mentally endowed next-of-kin would end up moaning and groaning "Serikali imefeli kwa kiasi kikubwa!!", since you'd most likely end up as dead meat after hurricane Gustav has had its way with retards like you).
Nyani hutendi haki kutoa identity ya mtu hapa. Hili nikosa.Hahahahahaha.....for real, Njabu Ngabu aka Nyama Hatari aka Jumanne Athumani?????????????????????????
Nyani hutendi haki kutoa identity ya mtu hapa. Hili nikosa.
Kwani kuna sababu gani ya kuandika hayo yote kama si ya kweli? Thread hii si ya kutajana majina mkuu ni mahali tunajadili mstakabali wa wananji wa danganyika.Ina maana Jumanne Athumani ni jina lake la kweli?