Hii sio Tanzania 🇹🇿Huduma bora za afya,maisha bora kwa kila mtanzania,tunatekeleza. Nimeangusha mapambio sasa nasubiri uteuzi kisarawe.View attachment 1467725
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Mpaka sasa umeacha kutafuta chakula cha familia yako?Kwani mwanao akija na ripoti kapata asilimia 40 katika mtihani wake, ukamwambia unahitaji jitihada zaidi kuongeza ufanisi, utakuwa hujatambua jitihada zake?
Unaelewa kwamba binafsi sina tatizo kutqmbua jitihada, ika nasema tunaweza kufanya vizuri sana zaidi ya sasa hivi na kwamba kuna ujinga mwingi sana unafanyika ambao hauhitajiki?
Unaelewa hayo?
Unaelewa kwamba hizi ni habari nyingi na nzito na zenye utata mwingi, si habari ndogo na nyepesi tu za kutambua au kutotambua jitihada?
Nikisema rais ni mshenzi kwa sababu kasema atawapiga shangazi wa wapinzani, hapo sijatambua au nimetambua jitihada zake?
Nikisema ukweli kwamba rais ni mshenzi, sijatambua jitihada zake?
Mtu mshenzi hawezi kuwa na jitihada zinazotambulika, akaangushwa na ushenzi wake, watu wakapenda jitihada zake, wakasema "huyu angeondoa ushenzi wake tu, angeweza kufanya vizuri zaidi"?
Mtu anayeongelea matatizo ya chakula ni mtu ambaye hajaweza kushinda matatizo ya msingi ya maisha.Mpaka sasa umeacha kutafuta chakula cha familia yako?
Matatizo ya familia yako umeishayaondoa?
Kama bado tambua matatizo hayawezi kuisha.
Huduma alizoulizia huyo mtoto wewe huzipati?Kwa hiyo mleta mada anataka tuufikirie umasikini kwa akili za kitoto?
Mimi sipo Tanzania takribani miaka ishirini sasa. Ndiyo maana nakwambia ondoa maswali yako ya kuulizia chakula.Huduma alizoulizia huyo mtoto wewe huzipati?
Na shangazi ni MBOWE? Bila kupepesa macho
Hii ndio ukimwaga mboga tunamwaga ugali 😂😂😂😂Na huyo dogo anayeuliza maswali ni polepole.
Mimi sipo Tanzania takribani miaka ishirini sasa. Ndiyo maana nakwambia ondoa maswali yako ya kuulizia chakula.
Bajeti yangu ya cologne ya mwaka ni zaidi ya GDP Per Capita ya Mtanzania, kama unajua GDP Per Capita ni nini.
Asilimia ngapi ya Watanzania hawana umeme wa kutegemewa na maji safi na salama?
Sasa Mambo ya Tanzania unayajuaje Kama si mpinzani uchwalaMimi sipo Tanzania takribani miaka ishirini sasa. Ndiyo maana nakwambia ondoa maswali yako ya kuulizia chakula.
Bajeti yangu ya cologne ya mwaka ni zaidi ya GDP Per Capita ya Mtanzania, kama unajua GDP Per Capita ni nini.
Asilimia ngapi ya Watanzania hawana umeme wa kutegemewa na maji safi na salama?
Mpaka sasa umeacha kutafuta chakula cha familia yako?
Matatizo ya familia yako umeishayaondoa?
Kama bado tambua matatizo hayawezi kuisha.
Wewe jifunze kuandika kwanza.Sasa Mambo ya Tanzania unayajuaje Kama si mpinzani uchwala
Wapi nimemtaja Bakhressa?Dah uko vizuri mzee. Bajeti yako ya cologne kwa mwaka umeizidi GDP ya Bakhresa mzee?
Wewe hata Elon Musk hakupati kabisa [emoji12][emoji12]
Wapi nimemtaja Bakhressa?
Unaelewa kiuchumi ikitajwa GDP Per Capita ya Mtanzania maana yake nini?
Au unarukia tu kujadili vitu usivyovielewa?
Haya mzee wa mtandao niambie ni nchi gani ambao wananchi wake wote wanatumia maji ya bomba na wanakula milo 3 mboga saba?Wewe jifunze kuandika kwanza.
Dunia ya mtandao hii nakuhakikishia mimi najua mambo ya Tanzania kuliko watu wengi walio Tanzania.
Usiishi kwa kukariri kwamba walio Tanzania wanajua mambo ya Tanzania zaidi.
Acha kuishi kijima.
Nchi gani ambayo wanaichi wake wote wanapata maji ya safi na salama?Ukiacha mengine maji ni hitaji la msingi katika maisha ya binadamu. Je haiwezekani kuhakikisha nchi nzima ina maji Safi na salama sambamba na sgr, umeme wa rufiji, madaraja, mabarabara, vivuko, viwanja vya ndege na ndege zake, flyovers na mengineyo?
Kwani nani kasema wananchi wote watumie maji ya bomba na kula milo mitatu mboga saba?Haya mzee wa mtandao niambie ni nchi gani ambao wananchi wake wote wanatumia maji ya bomba na wanakula milo 3 mboga saba?
Mkuu swali hili unamaanisha au umeuliza mradi umeuliza? Hivi ni kweli kwamba hujui kwamba kuna nchi nyingi tu ambazo wananchi wake hawajawahi kushuhudia kukatika kwa maji?Ni
Nchi gani ambayo wanaichi wake wote wanapata maji ya safi na salama?
Aibu gani?Huu uzi hua nauona na kuuruka mara nyingi, leo nimeona niingie nilichokikuta ni aibu kidogo.