Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Nilikuuliza hiviWapi ulisikia Serikali ya Mapinduzi Tanganyika?
Nyerere alikombolewa na nani baada ya kupinduliwa na waafrika wenzake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuuliza hiviWapi ulisikia Serikali ya Mapinduzi Tanganyika?
Mzee saidi huu ukweli haukubali!!!!!!Anaumia na kujisikia vibaya kaniambia kwa kuwasema mabaya yao waarabu walowezi wa zanzbar!!!Kabla ya mapinduzi matukufu 1964Sawa kabisa. Ni wale waarabu koko. Walikua daraja la pili enzi ya sultani. Yaani baada ya waarabu na wahindi wao ndio wanafuata kwa hadhi. Hao machotara wakiwa wazao wa dada zetu waafrika wakiingiliwa kwa kubakwa na waarabu. Wanajiona eti ni waarabu na ndio wazanzibari na waliyokua wengi waarika watupu walikua watumwa na ni wabara au wataanganyika.
Ushaanza siasa za hizbu na wafadhili wa kiomani kutaka kugeuza zanzbar kama somalia au yemeni!!!!!Lakini Mzee karume alituasa mapema watu watatumia dini kutaka kuhalalisha maovu ya walowezi wa kiarabu zanzbar!!Nelson,
Jitahidi sana kuandika na kufanya mjadala kwa ustaarabu.
Unaandika ukiwa umekasirika.
Lugha za "ukweli mchungu," ''umeze tu,' "kuziba macho";si lugha za mahojiano ya kisomi.
Najaribu kuzungumza na nafsi yako ya ndani ili tujuane.
Nimekuambia najua mengi nikiamini utaelewa na utakuwa tayari kunufaika na mimi.
Lakini naona hujaelewa.
Dini ni muhimu sana kwa siasa za Tanganyika nchi yenye Waislam na Wakristo.
Wanayoiogopa dini yaani Uislam katika historia ya Tanganyika ni Wakrito na sababu zinatahamika.
Lakini ukweli ni kuwa Waislam wana historia kubwa katika mapambano na Wajerumani na Waingereza.
Waislam wamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Nyerere.
Ukikataa kuwasikia Waislam katika historia ya Tanganyika ni kuwa unataka kufuta historia ya kweli.
Zanzibar ni nchi ya Kiislam labda 99%.
Wakati wa muungano 1964 Uislam haukuwa na nguvu katika siasa za Zanzibar.
Hali imebadilika sana.
Wazanzibari sasa wanajitambua kama taifa la Kiislam.
Ndiyo haya mabadilko unayoyaona.
In Shaa Allah tutalijadili hili huko mbele.
Muhimu tuwe na mjadala wa adabu.
Mabaya gani waliyoyafanya Waarabu walowezi?Mzee saidi huu ukweli haukubali!!!!!!Anaumia na kujisikia vibaya kaniambia kwa kuwasema mabaya yao waarabu walowezi wa zanzbar!!!Kabla ya mapinduzi matukufu 1964
Mzee wangu najua chuki yako kwa watu wa imani tofauti na wewe!!!Au na wewe ni mpingaji wa mapinduzi matukufu ya 1964???????Sababu rafiki zako wa hizbu na walowezi wa kiarabu ,walowezi wa kizungu waliondolewaNelson,
Jitahidi sana kuandika na kufanya mjadala kwa ustaarabu.
Unaandika ukiwa umekasirika.
Lugha za "ukweli mchungu," ''umeze tu,' "kuziba macho";si lugha za mahojiano ya kisomi.
Najaribu kuzungumza na nafsi yako ya ndani ili tujuane.
Nimekuambia najua mengi nikiamini utaelewa na utakuwa tayari kunufaika na mimi.
Lakini naona hujaelewa.
Dini ni muhimu sana kwa siasa za Tanganyika nchi yenye Waislam na Wakristo.
Wanayoiogopa dini yaani Uislam katika historia ya Tanganyika ni Wakrito na sababu zinatahamika.
Lakini ukweli ni kuwa Waislam wana historia kubwa katika mapambano na Wajerumani na Waingereza.
Waislam wamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Nyerere.
Ukikataa kuwasikia Waislam katika historia ya Tanganyika ni kuwa unataka kufuta historia ya kweli.
Zanzibar ni nchi ya Kiislam labda 99%.
Wakati wa muungano 1964 Uislam haukuwa na nguvu katika siasa za Zanzibar.
Hali imebadilika sana.
Wazanzibari sasa wanajitambua kama taifa la Kiislam.
Ndiyo haya mabadilko unayoyaona.
In Shaa Allah tutalijadili hili huko mbele.
Muhimu tuwe na mjadala wa adabu.
Wacha kumpakazia Marehemu Karume, Bwana yesu amekataza kushuhudia uongo.Ushaanza siasa za hizbu na wafadhili wa kiomani kutaka kugeuza zanzbar kama somalia au yemeni!!!!!Lakini Mzee karume alituasa mapema watu watatumia dini kutaka kuhalalisha maovu ya walowezi wa kiarabu zanzbar!!
Ukweli mchungu mzee wangu usiumie moyo kupokea kwa kisingizio cha nasaba ya udini na undugu!!!Karume bila kuwaondoa walowezi zanzbar haki isingepatikana!!!!!Nelson,
Jitahidi sana kuandika na kufanya mjadala kwa ustaarabu.
Unaandika ukiwa umekasirika.
Lugha za "ukweli mchungu," ''umeze tu,' "kuziba macho";si lugha za mahojiano ya kisomi.
Najaribu kuzungumza na nafsi yako ya ndani ili tujuane.
Nimekuambia najua mengi nikiamini utaelewa na utakuwa tayari kunufaika na mimi.
Lakini naona hujaelewa.
Dini ni muhimu sana kwa siasa za Tanganyika nchi yenye Waislam na Wakristo.
Wanayoiogopa dini yaani Uislam katika historia ya Tanganyika ni Wakrito na sababu zinatahamika.
Lakini ukweli ni kuwa Waislam wana historia kubwa katika mapambano na Wajerumani na Waingereza.
Waislam wamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Nyerere.
Ukikataa kuwasikia Waislam katika historia ya Tanganyika ni kuwa unataka kufuta historia ya kweli.
Zanzibar ni nchi ya Kiislam labda 99%.
Wakati wa muungano 1964 Uislam haukuwa na nguvu katika siasa za Zanzibar.
Hali imebadilika sana.
Wazanzibari sasa wanajitambua kama taifa la Kiislam.
Ndiyo haya mabadilko unayoyaona.
In Shaa Allah tutalijadili hili huko mbele.
Muhimu tuwe na mjadala wa adabu.
Ukweli mchungu mzee wangu usiumie moyo kupokea kwa kisingizio cha nasaba ya udini na undugu!!!Karume bila kuwaondoa walowezi zanzbar haki isingepati
Hii picha ni black and white lakini ni dhahiri sultan huyu ana weusiNiliwahi kuleta picha zA wafalme wa Zanzibar humu, kuna wafalme kibao weusi, na maarufu ni kama Ali Humud,
Utoto wake
View attachment 2504743
Ukubwa wake
View attachment 2504746View attachment 2504747
Si huyo tu kuna watu kibao Royal Family ya Zanzibar walikuwa weusi. Ubaguzi wenu huo umeanza 1964
Mkuu hujanijibu swali languCount...
Tanzania Wakristo wanahodhi serikali kwa 80% na 20% ni Waislam.
Unasemaje kuhusu hili.
Huu ni ukandamuzaji systematically?
Nelson,Ukweli mchungu mzee wangu usiumie moyo kupokea kwa kisingizio cha nasaba ya udini na undugu!!!Karume bila kuwaondoa walowezi zanzbar haki isingepatikana!!!!!
Sasa mzee said unatoka nje ya mada!!!!Mada ni watu wanaopinga mipinduzi matukufu ya zanzbar wana ajenda gani nyuma ya pazia???????Mambo ya dini huko mimi sipo tujadili mada!!!!Najua huwapendi watu wa imani tofauti na wewe ila hiyo leo sio mada hapa mzee wangu!!Nelson,
Sina tatizo na hoja ya mtu yeyote.
Tunaweza tukakesha hapa tunajadiliana.
Ila napenda kujadili na mtu mjuzi kwani nami nafaidika kutokana na elimu yake.
Angalia unaandika unaweka "exclamation marks!"
Hutakiwi kufanya hivyo.
Ukifanya hivyo unachafua yote uliyoandika nyuma.
Mshangao wako uonyeshe katika uandikayo.
Hivi ndiyo inavyotakiwa kuwa.
Nimekueleza umuhimu wa Uislam katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Ikiwa huna la kusema naelewa Wala sikulaumu kwa kuwa kimya.
Mzee saidi atalikwepa hili swaliMkuu hujanijibu swali langu
Enzi za usultan kabla ya ‘63 kulikua na ubaguzi wa rangi Zanzibar au haukuwepo
Then nitajibu maswali yako
Ahahahaaaa...Mm naona wanaandaa kabisa mihadhara kumkashifu mzee wetu karume
Sasa hawa machotara unawaita weusi?????Be seriousNiliwahi kuleta picha zA wafalme wa Zanzibar humu, kuna wafalme kibao weusi, na maarufu ni kama Ali Humud,
Utoto wake
View attachment 2504743
Ukubwa wake
View attachment 2504746View attachment 2504747
Si huyo tu kuna watu kibao Royal Family ya Zanzibar walikuwa weusi. Ubaguzi wenu huo umeanza 1964
Okelo nimemtaja kama kamanda wa ASP chini ya mzee wetu amri jeshi mkuu wa vikosi vya mapinduzi zanzbar Mzee KarumeAhahahaaaa...
Lakini kwa nini huyu jamaa Okello mnampoteza kwenye kumbukukumbu za historia za mapinduzi?.
Ukweli sijawahi sikia wala kusoma sehemu yoyote zaidi ya JF tukijadili mapinduzi huku tukimtaja, vinginevyo Unguja au Pemba huyu jamaa ni kama kirusi kwenu!.
Na msingi wa hoja zake uko hapaMzee saidi atalikwepa hili swali
Sasa hawa machotara unawaita weusi?????Be serious
Nadhani hawataki kuitwa machotara maana wanadhani watanasibishwa na huo ubaguzi na ukandamizaji uliopelekea mapinduziSasa hawa machotara unawaita weusi?????Be serious
Hawezi kukubali mzee wangu sababu tayari ana chuki na watu wa imani nyingine na wale waliowaondoa walowezi wa kiarabu zanzbarNa msingi wa hoja zake uko hapa
Msingi wa mapinduzi matukufu uko hapa
Tukiweza kuwekana sawa hapa o doubt we’ll be on the same lane