Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Mzee saidi huu ukweli haukubali!!!!!!Anaumia na kujisikia vibaya kaniambia kwa kuwasema mabaya yao waarabu walowezi wa zanzbar!!!Kabla ya mapinduzi matukufu 1964
 
Ushaanza siasa za hizbu na wafadhili wa kiomani kutaka kugeuza zanzbar kama somalia au yemeni!!!!!Lakini Mzee karume alituasa mapema watu watatumia dini kutaka kuhalalisha maovu ya walowezi wa kiarabu zanzbar!!
 
Mzee saidi huu ukweli haukubali!!!!!!Anaumia na kujisikia vibaya kaniambia kwa kuwasema mabaya yao waarabu walowezi wa zanzbar!!!Kabla ya mapinduzi matukufu 1964
Mabaya gani waliyoyafanya Waarabu walowezi?

Usikimbie swali langu

Hivi Hizbu iliundwa na Waarabu?
ASP ilikuwa haina walowezi Waarabu na wahindi ?
 
Mzee wangu najua chuki yako kwa watu wa imani tofauti na wewe!!!Au na wewe ni mpingaji wa mapinduzi matukufu ya 1964???????Sababu rafiki zako wa hizbu na walowezi wa kiarabu ,walowezi wa kizungu waliondolewa
 
Ushaanza siasa za hizbu na wafadhili wa kiomani kutaka kugeuza zanzbar kama somalia au yemeni!!!!!Lakini Mzee karume alituasa mapema watu watatumia dini kutaka kuhalalisha maovu ya walowezi wa kiarabu zanzbar!!
Wacha kumpakazia Marehemu Karume, Bwana yesu amekataza kushuhudia uongo.

Karume aliyasema wapi maneno hayo na lini ?
 
Ukweli mchungu mzee wangu usiumie moyo kupokea kwa kisingizio cha nasaba ya udini na undugu!!!Karume bila kuwaondoa walowezi zanzbar haki isingepatikana!!!!!
 
Hii picha ni black and white lakini ni dhahiri sultan huyu ana weusi

Lakini tatizo mkuu si kuchanganya rangi, tatizo ni fikra zao the way they see themselves

Hawa waliochanganya rangi walikua na tabaka lao tofauti na weusi kabisa mkuu

Wanaweza kuonekana na rangi hiyo mseto lakini their thoughts might be Omani-Oriented


Sasa tuangalie facts on the ground kulikua na ubaguzi au la, kulikua na upendeleo kwa sababu ya rangi au la
 
Count...
Tanzania Wakristo wanahodhi serikali kwa 80% na 20% ni Waislam.

Unasemaje kuhusu hili.
Huu ni ukandamuzaji systematically?
Mkuu hujanijibu swali langu

Enzi za usultan kabla ya ‘63 kulikua na ubaguzi wa rangi Zanzibar au haukuwepo

Then nitajibu maswali yako
 
Watu wanaweza wakayafagilia mapinduzi endapo matarajio ya hayo mapinduzi yatafikiwa

Inakuaje kama huduma za afya,miundombinu,elimu,ubaguzi wa rangi,Uhuru nk vikawa hakuna tofauti kwa kipindi hiki na enzi za usultani?

Watu wakiboreshewa maisha na kero zikaondoka sidhani kama kelele zitakuepo
 
Ukweli mchungu mzee wangu usiumie moyo kupokea kwa kisingizio cha nasaba ya udini na undugu!!!Karume bila kuwaondoa walowezi zanzbar haki isingepatikana!!!!!
Nelson,
Sina tatizo na hoja ya mtu yeyote.
Tunaweza tukakesha hapa tunajadiliana.

Ila napenda kujadili na mtu mjuzi kwani nami nafaidika kutokana na elimu yake.

Angalia unaandika unaweka "exclamation marks!"

Hutakiwi kufanya hivyo.

Ukifanya hivyo unachafua yote uliyoandika nyuma.

Mshangao wako uonyeshe katika uandikayo.

Hivi ndiyo inavyotakiwa kuwa.

Nimekueleza umuhimu wa Uislam katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Ikiwa huna la kusema naelewa Wala sikulaumu kwa kuwa kimya.
 
Sasa mzee said unatoka nje ya mada!!!!Mada ni watu wanaopinga mipinduzi matukufu ya zanzbar wana ajenda gani nyuma ya pazia???????Mambo ya dini huko mimi sipo tujadili mada!!!!Najua huwapendi watu wa imani tofauti na wewe ila hiyo leo sio mada hapa mzee wangu!!
 
Mm naona wanaandaa kabisa mihadhara kumkashifu mzee wetu karume
Ahahahaaaa...
Lakini kwa nini huyu jamaa Okello mnampoteza kwenye kumbukukumbu za historia za mapinduzi?.

Ukweli sijawahi sikia wala kusoma sehemu yoyote zaidi ya JF tukijadili mapinduzi huku tukimtaja, vinginevyo Unguja au Pemba huyu jamaa ni kama kirusi kwenu!.
 
Okelo nimemtaja kama kamanda wa ASP chini ya mzee wetu amri jeshi mkuu wa vikosi vya mapinduzi zanzbar Mzee Karume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…