Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nelson,Mzee saidi atalikwepa hili swali
Today,Tatizo huyo mzee Okello ametengwa sana, hatajwi kwenye maskani yoyote hata ile maskani maarufu ya CUF pale stone town hawezi tajwa na ukimtaja unaeza fukuzwa kama mhaini wewe!
Nelson,Hawezi kukubali mzee wangu sababu tayari ana chuki na watu wa imani nyingine na wale waliowaondoa walowezi wa kiarabu zanzbar
https://www.jamiiforums.com/threads...kassim-hanga-na-mapinduzi-ya-zanzibar.851497/Wana ajenda ya kumrudisha Sultan wa Oman atawale Zanzibar.
Ya kumuondoa mlowezi wa kiarabu kama alivyofanya kwa babu zetu japo ukweli unafichwa!!!!Wangapi wanakumbuka mji wa zanzbar ulipowaka moto miaka ya 1800,s?????Waarabu walifanya nini wabantu weusi??????Au historia inafichwa makusudi kuwatetea walowezi wa kiarabuZanzibar kulikuwa na mapinduzi au mauaji ya kimbari acheni uhuni Zanzibar kuna historia ya kipuuzi
Nelson....Sasa sio wabantu!!!!Wabantu wanajulikana na machotara wanajulikana
Walowezi wa kiarabu ndiwo wanaokutawala hivi sasa 😝😝Ya kumuondoa mlowezi wa kiarabu kama alivyofanya kwa babu zetu japo ukweli unafichwa!!!!Wangapi wanakumbuka mji wa zanzbar ulipowaka moto miaka ya 1800,s?????Waarabu walifanya nini wabantu weusi??????Au historia inafichwa makusudi kuwatetea walowezi wa kiarabu
Umekimbia hili Swali la Sheikh Mohammed SaidYa kumuondoa mlowezi wa kiarabu kama alivyofanya kwa babu zetu japo ukweli unafichwa!!!!Wangapi wanakumbuka mji wa zanzbar ulipowaka moto miaka ya 1800,s?????Waarabu walifanya nini wabantu weusi??????Au historia inafichwa makusudi kuwatetea walowezi wa kiarabu
Gavana,Umekimbia hili Swali la Sheikh Mohammed Said
Nelson,
Huwa sikwepi swali.
Ubaguzi siku zote tunao katika jamii ila unapishana kwa viwango.
Mimi naweza nikakuuliza Tanzania Bara kuna ubaguzi?
Nini jibu lako?
Ukweli lazima usemwe mzee na mabaya ya wadhalimu lazima yasemwe hata vipite vizazi 100!!!!!!Wabantu hatusahauNelson....
Haifai ndugu yangu.
Hiyo picha haifanyi wewe kuondoa mtazamo wako dhidi ya watu wengine!!!Hasa wale waliopambania uhuru wa tanganyika na mapinduzi matukufu ya zanzbar 1964!!!Na pia haifichi hulka yako kwa watu wenye imani nyingine tofauti na yako!!!!Pia haiondoi huba yako kwa walowezi wa kiarabu na hizbu zanzbar!!!!Nelson,
Wewe ndiyo una chuki.
Angalia maneno unayotumia.
Ningekuwa nina chuki na Wakristo nisingeweza kuandika vitabu na vikasomwa na watu wengi.
Wala hapa JF nisingesomwa na watu wengi kama hivi.
Ningekuwa naeneza chuki katika jamii nisingepewa tuzo ya JF katika uandishi.
View attachment 2505133
Tuzo kutoka Maxence Melo wa JF
Kassim hanga anajulikana na mitazamo yake ilikua inajulikana ndani ya SMZ!!!!Today,
Kassim Hanga hatajwi katika mapinduzi ya Zanzibar.
Mzee wangu Kwahiyo walowezi wa kiarabu hawakua wabaguzi kabisa kwa wabantu!!!Huwezi amini wala kukubali hilo litakuumiza sababu una nasaba nao za kindugu na kiimani?????Nelson,
Huwa sikwepi swali.
Ubaguzi siku zote tunao katika jamii ila unapishana kwa viwango.
Mimi naweza nikakuuliza Tanzania Bara kuna ubaguzi?
Nini jibu lako?
Upo sahii Mkuu ndio maana waarabu,machotara na vibaraka wao wanapinga mapinduzi matukufu ua zanzbar wakitumia kisingizio cha unasaba wa kindugu na dini!!!Kwenu ni mapinduzi....
Kwao ni uvamizi na mauaji ya kimbari....
Duniani kote hakuna tabaka tawala ambalo linafurahia mapinduzi baada ya kuondolewa kinguvu kwenye nafasi yao ya kimamlaka. Mapinduzi ni sera yenye kuacha maumivu makali kwa jamii nzima.
Sass unategemea CUF(HIZBU) wamtaje mzee okelo???Tatizo huyo mzee Okello ametengwa sana, hatajwi kwenye maskani yoyote hata ile maskani maarufu ya CUF pale stone town hawezi tajwa na ukimtaja unaeza fukuzwa kama mhaini wewe!
Upo sahii kakaKidogo kidogo tu
"sisi ni wazanzibari na hao ni watanganyika, then Sisi wapemba na hao ni waunguja"
By Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere
Hapa sasa mzee wangu unanidanganya!!!Wewe unajua dunia imeumbwa mwaka gani na visiwa hivyo vimeanza kukaliwa na watu mwaka gani???Baharia...
Mdomo haumkatai bwana wake.
Wapemba na Waunguja wamekuwapo toka dunia ilipoumbwa na hayo anayosema Nyerere hayakutokea.
Hapa mzee saidi inaonyesha huijui historia ya dunia!!!!Wewe unajua historia ya visiwa hivyo wakazi wake wa kwanza ni watu wa nasaba gani?????Au unadhani historia imeanzia walipokuja waarabu pwani ya afrika mashariki???????Usiniangushe mzee saidiBaharia...
Mdomo haumkatai bwana wake.
Wapemba na Waunguja wamekuwapo toka dunia ilipoumbwa na hayo anayosema Nyerere hayakutokea.
Hii mind set ya Oman oriented anayo mzee wangu said mohamed kwa kisingizio cja unasaba wa kindugu na kidiniHii picha ni black and white lakini ni dhahiri sultan huyu ana weusi
Lakini tatizo mkuu si kuchanganya rangi, tatizo ni fikra zao the way they see themselves
Hawa waliochanganya rangi walikua na tabaka lao tofauti na weusi kabisa mkuu
Wanaweza kuonekana na rangi hiyo mseto lakini their thoughts might be Omani-Oriented
Sasa tuangalie facts on the ground kulikua na ubaguzi au la, kulikua na upendeleo kwa sababu ya rangi au la
Nelson...Ukweli lazima usemwe mzee na mabaya ya wadhalimu lazima yasemwe hata vipite vizazi 100!!!!!!Wabantu hatusahau